Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 1,326
- 1,451
Nipe maelekezo mkuu kuhusu hiyo koziPole sana in advance. Kaa mbali na sumu.
Unanitisha mkuuKwahiyo unategemea tukujibu sisi na mabuti uje utupige sisi, acha wakupange tu aiseee!
Maswali mazuri ila nimemuuliza akaniambia uaskari sasa sijajua ni uhamiaji au maana kaniambia ni miezi 6Kozi gani , military? Polisi?
Polisi mwaka1
Military 4-6 moths then 4-6 baadae miezi hiyo hiyo
Magereza 4 months
Uhamiaji 4 mpaka 6
Takukuru 6
Ahaa sawa mkuu,ila sijajua ni uhamiaji au maan military ni uongoUkiwatoa Polisi Hao waliobaki wote kozi zao zina chezea kwenye miezi 4-6
Kama Ni uhamiaji mvumilie tu,ila Hao wengine hata akimaliza kozi masharti Ni mengi(Wana muda maalumu Wa kuolewa,kuzaa e.t.c)sio akitoka kozi tu anakuja mnaoana!Ahaa sawa mkuu,ila sijajua ni uhamiaji au maan military ni uongo
Oh sawa .Maswali mazuri ila nimemuuliza akaniambia uaskari sasa sijajua ni uhamiaji au maana kaniambia ni miezi 6
Inaendaga hata mwakaHabari za muda hope mko poa
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila ananiambia anataka akapige kozi ya uaskari miezi 6 ila swala la kuoana tutasogeza mbele vipi wakuu hapo
Sawa mkuu ahsante kwa ushauri japo aliniambia anatafuta kazi kipindi hiki kabla hatujaoana so baadae aliniambia simtafutii kazi though nilikuwa kweny rada ya kumtafutia kazi sasa juzi hapa kaniambia anatak akapige kozi ya uaskari maana siku za nyuma aliniambia aliomba kazi ya ulinzi sasa sielewi ni kwamba hakuwa na kigezo au vipiAchana nae huyo ukiona danadana nyingi.
Ahaa sawaInaendaga hata mwaka
Sawa mkuu ahsante kwa ushauriAchana nae masta huyo soon utalia tafuta mwingine usije ukajipa tabu ya moyo masta
🤣🤣🤣hapana mkuu tupo kufarijianaOh sawa .
Nb. Akienda akirudi bila shaka utarudi na Uzi wa kulialia kwamba manzi humwelewielewi
Wanaokufariji ni wabongo tu. Ila kiukweli kama mzuri akienda akikukurudia baada ya kurudi ita wahuni mpige maombi ya shukrani🤣🤣🤣hapana mkuu tupo kufarijiana