Kozi ya uaskari ni muda gani wakuu isije ikawa napangwa

Sawa mkuu ahsante kwa ushauri japo aliniambia anatafuta kazi kipindi hiki kabla hatujaoana so baadae aliniambia simtafutii kazi though nilikuwa kweny rada ya kumtafutia kazi sasa juzi hapa kaniambia anatak akapige kozi ya uaskari maana siku za nyuma aliniambia aliomba kazi ya ulinzi sasa sielewi ni kwamba hakuwa na kigezo au vipi
Huyo ke sio wako bro, huyo akipata kazi ndio bye bye ya kuonana na kwa aina ya kazi anazozitafuta yeye ndio kabisa.

Walinzi nao washakuwa kama mama ntilie ukigusa imo na vile siku hizi makampuni yanawaajiri tu bila hata mafunzo ndio kabisa.
 
Habari za muda hope mko poa

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila ananiambia anataka akapige kozi ya uaskari miezi 6 ila swala la kuoana tutasogeza mbele vipi wakuu hapo
Hivi Bado Kuna vijana mnawaza hii kazi?
Doh
 
Huyo ke sio wako bro, huyo akipata kazi ndio bye bye ya kuonana na kwa aina ya kazi anazozitafuta yeye ndio kabisa.

Walinzi nao washakuwa kama mama ntilie ukigusa imo na vile siku hizi makampuni yanawaajiri tu bila hata mafunzo ndio kabisa.
Duu mkuu sasa nifanyaje mkuu maan ukiwa umekaa muda mrefu na mwenzako kwenye mahusiano inachukua time sanaa kumuacha ,japo mmenishauri kutafuta mwingine
 
Kama mtu ambae unapanga kumuoa haujui ishu zake zinaendaje basi achana nae mnapotezeana muda.

Back
Top Bottom