Upendo hauchagui mkuuYaani mtu kabisa anataka kuoa police, kweli wenzetu hamyapendi maisha.
Hapo ndipo shida ilipo mkuuAkitoka kozi napo kuna kusubiri kama mwaka hivi ndo ndoa au mimba
Mimi sio muoga ila ninatak niwe na tahadhari mapemaKama ni police walioko depo walioingia mwaka huu April wata pass out December this year.
Halafu wewe raia unaonekana muoga sana,utamuweza huyo WP kweli?
Miaka mitatuAkitoka kozi napo kuna kusubiri kama mwaka hivi ndo ndoa au mimba
Hivi kumbe ni kweliii?Kama Ni uhamiaji mvumilie tu,ila Hao wengine hata akimaliza kozi masharti Ni mengi(Wana muda maalumu Wa kuolewa,kuzaa e.t.c)sio akitoka kozi tu anakuja mnaoana!
Kweli sikio la kufa haliskii dawaUpendo hauchagui mkuu
Sasa mkuu huo ndo ukweliKweli sikio la kufa haliskii dawa
Ulijua utani? vigezo na masharti kuzingatiwa!Hivi kumbe ni kweliii?
Hayo majeshi yote watu wapo kozi kasoro Magereza tu ambao ndio wapo kwenye mchakato hata usahili haujaanzaMaswali mazuri ila nimemuuliza akaniambia uaskari sasa sijajua ni uhamiaji au maana kaniambia ni miezi 6
uLitaka wasome miaka mi3 hadi mi4!? Elimu darasani wanazingatia sana Polisi hawa wengine ni juujuu tu japo wanaingia sana sana ni kwenye Field hukoDuuuh
Mbona ELIMU ya muda mfupi sana?
Ahsantee kwa taarifaHayo majeshi yote watu wapo kozi kasoro Magereza tu ambao ndio wapo kwenye mchakato hata usahili haujaanza
🤣🤣🤣mkuuUnataka kulala selo muda si mrefu, wewe endelea kumuhojihoji....