Achana na hiyo kazi bora uende VETA ukajifunze ufundi magari.Unanitisha mkuu
Ume anza kulegeza msimamo, kuoa ni uongo.Kataa ndoa.
Ukishindwa kabisa, ukaoa, Kataa kuoa Askari
Kwanza una hela maana wanawake wa siku hizi bila pesa hutoboiHabari za muda hope mko poa
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila ananiambia anataka akapige kozi ya uaskari miezi 6 ila swala la kuoana tutasogeza mbele vipi wakuu hapo
Umetusahau na sisi Askari wa Jeshi la Akiba (huwa hatupendi kuitwa Mgambo) ni Mwezi 1-2 hivi! Si haba.Kozi gani , military? Polisi?
Polisi mwaka1
Military 4-6 moths then 4-6 baadae miezi hiyo hiyo
Magereza 4 months
Uhamiaji 4 mpaka 6
Takukuru 6
Ha haUmetusahau na sisi Askari wa Jeshi la Akiba (huwa hatupendi kuitwa Mgambo) ni Mwezi 1-2 hivi! Si haba.
Mkuu bado najitafutaKwanza una hela maana wanawake wa siku hizi bila pesa hutoboi
🤣🤣🤣Ha ha
Wakuu mbona mnakatisha tamaa sasa u bachelor mpaka liniUme anza kulegeza msimamo, kuoa ni uongo.
Mmh ulielewa hoja yangu mkuuAchana na hiyo kazi bora uende VETA ukajifunze ufundi magari.
Maoni yako mkuu nijue kama nataka nipigwe auKila la kheri
Sawa mkuuKama Ni uhamiaji mvumilie tu,ila Hao wengine hata akimaliza kozi masharti Ni mengi(Wana muda maalumu Wa kuolewa,kuzaa e.t.c)sio akitoka kozi tu anakuja mnaoana!
Kwanini mkuuWanaokufariji ni wabongo tu. Ila kiukweli kama mzuri akienda akikukurudia baada ya kurudi ita wahuni mpige maombi ya shukrani
Huenda sikuelewa ila nimekuelewa na pia sijalewa.Mmh ulielewa hoja yangu mkuu
MKUU NLIKUCHEK PM ,Kwahiyo unategemea tukujibu sisi na mabuti uje utupige sisi, acha wakupange tu aiseee!
Usiwaze mipango inachakatwa taarifa utapata.MKUU NLIKUCHEK PM ,
Usiwaze mipango inachakatwa taarifa utapata.
SHUKRAN MKUU