Kozi ya uaskari ni muda gani wakuu isije ikawa napangwa

Tafuta chaka jingine huyo c wako Tena maana kule ni kutii bila kuhoji,Inamaa kiuno juu-Yes SiršŸ˜…šŸ¤£
 
Habari za muda hope mko poa

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila ananiambia anataka akapige kozi ya uaskari miezi 6 ila swala la kuoana tutasogeza mbele vipi wakuu hapo
Mkubalie kama umeandikiwa yeye hakuna kitakachozuia
NB: nimejibu nje ya mada
 
Kwasababu wewe si kipaumbele chake.

Kuna jambo gani zaidi la kheri kwa mwanamke kama si kuolewa?

Ana mpango wake. Atakusumbua.
Ushauri mzuri nimeuchukua mkuušŸ™itabidi nitafute chaka lingine
 
We unatoswa kimtindo umengangana tu.
Huyo haendi kozi yoyote ndo mazima huko akirudi na mimba juu
 
Mwenye maamuzi ya mwisho ya kuoa ni Me, ukiona Ke ndo anapanga muoane lini basi ujue kuna walakini mkubwa sana hapo.
 
Habari za muda hope mko poa

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila ananiambia anataka akapige kozi ya uaskari miezi 6 ila swala la kuoana tutasogeza mbele vipi wakuu hapo
Kwa akili zako achana na hayo mambo kama hata kichwa cha uzi umeshindwa kukiweka sawa šŸ™„šŸ™„šŸ™„
 
Habari za muda hope mko poa

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila ananiambia anataka akapige kozi ya uaskari miezi 6 ila swala la kuoana tutasogeza mbele vipi wakuu hapo
Kwani una wasiwasi gani Mkuu? Si unampiga MITI? Ama?
 
Back
Top Bottom