Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
Hii dunia inamambo!
Sawa mkuu nachukua hiiWanaitwa "Women of Police (WP" wewe raia unajichanganya kuwaoa
Umelogwa wewe na unaingiziwa kitu kwenye upenyo fulani
Katafute raia wenzako ufurahie maisha achana na stress mjukuu
Hongera kwa huo upambanajiMimi ni mgambo wa enzi na enzi. Ninalinda kwenye mageti ya halmashauri huku Lushoto Tanga.
Sio miezi 6 kweli hahaha
Tusichekane wakuuSio miezi 6 kweli hahaha
Huyo ke sio wako bro, huyo akipata kazi ndio bye bye ya kuonana na kwa aina ya kazi anazozitafuta yeye ndio kabisa.Sawa mkuu ahsante kwa ushauri japo aliniambia anatafuta kazi kipindi hiki kabla hatujaoana so baadae aliniambia simtafutii kazi though nilikuwa kweny rada ya kumtafutia kazi sasa juzi hapa kaniambia anatak akapige kozi ya uaskari maana siku za nyuma aliniambia aliomba kazi ya ulinzi sasa sielewi ni kwamba hakuwa na kigezo au vipi
Acha upotoshaji we kenge vinginevyo nitakuibukia hapo ulipo nikushushie fimbo kithili ya yule mwanafunzi. Oa kijanaUme anza kulegeza msimamo, kuoa ni uongo.
Hivi Bado Kuna vijana mnawaza hii kazi?Habari za muda hope mko poa
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila ananiambia anataka akapige kozi ya uaskari miezi 6 ila swala la kuoana tutasogeza mbele vipi wakuu hapo
Ni hatua za utafutaji tu mkuuHivi Bado Kuna vijana mnawaza hii kazi?
Doh
Duu mkuu sasa nifanyaje mkuu maan ukiwa umekaa muda mrefu na mwenzako kwenye mahusiano inachukua time sanaa kumuacha ,japo mmenishauri kutafuta mwingineHuyo ke sio wako bro, huyo akipata kazi ndio bye bye ya kuonana na kwa aina ya kazi anazozitafuta yeye ndio kabisa.
Walinzi nao washakuwa kama mama ntilie ukigusa imo na vile siku hizi makampuni yanawaajiri tu bila hata mafunzo ndio kabisa.
🤣🤣🤣Acha upotoshaji we kenge vinginevyo nitakuibukia hapo ulipo nikushushie fimbo kithili ya yule mwanafunzi. Oa kijana
Sawa mkuu ahsante kwa ushauri japo aliniambia anatafuta kazi kipindi hiki kabla hatujaoana so baadae aliniambia simtafutii kazi though nilikuwa kweny rada ya kumtafutia kazi sasa juzi hapa kaniambia anatak akapige kozi ya uaskari maana siku za nyuma aliniambia aliomba kazi ya ulinzi sasa sielewi ni kwamba hakuwa na kigezo au vipi
Dont be simp mkuu ke wapo wengi huyo hukuzaliwa naeDuu mkuu sasa nifanyaje mkuu maan ukiwa umekaa muda mrefu na mwenzako kwenye mahusiano inachukua time sanaa kumuacha ,japo mmenishauri kutafuta mwingine
Sawa mkuu huu ushauri umepitaDont be simp mkuu ke wapo wengi huyo hukuzaliwa nae
DuuuhKozi gani , military? Polisi?
Polisi mwaka1
Military 4-6 moths then 4-6 baadae miezi hiyo hiyo
Magereza 4 months
Uhamiaji 4 mpaka 6
Takukuru 6