Kozi ya uaskari ni muda gani wakuu isije ikawa napangwa

Tafuta chaka jingine huyo c wako Tena maana kule ni kutii bila kuhoji,Inamaa kiuno juu-Yes SirπŸ˜…πŸ€£
 
Mkubalie kama umeandikiwa yeye hakuna kitakachozuia
NB: nimejibu nje ya mada
 
Kwasababu wewe si kipaumbele chake.

Kuna jambo gani zaidi la kheri kwa mwanamke kama si kuolewa?

Ana mpango wake. Atakusumbua.
Ushauri mzuri nimeuchukua mkuuπŸ™itabidi nitafute chaka lingine
 
We unatoswa kimtindo umengangana tu.
Huyo haendi kozi yoyote ndo mazima huko akirudi na mimba juu
 
Mwenye maamuzi ya mwisho ya kuoa ni Me, ukiona Ke ndo anapanga muoane lini basi ujue kuna walakini mkubwa sana hapo.
 
Kwa akili zako achana na hayo mambo kama hata kichwa cha uzi umeshindwa kukiweka sawa πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Kwa akili zako achsna na hayo mambo kama hata kichwa cha uzi umeshindwa kikiweka sawa πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Nifundishe mkuu jinsi ya kuweka heading nipate kujua
 
Kwani una wasiwasi gani Mkuu? Si unampiga MITI? Ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…