Na kipisi changu cha 113 kinapiga luti Dar to Tunduma niuzie mm nimfanye awe Tandi boy wa dereva wangu..[emoji1787][emoji1787]Nna dogo langu nunda limekataa shule limeishia STD 7 sijui niliuze wapi
Hapo no. 2. Hapana , rubani.mshahara wake mdogo Sana nchi za wengine rubani wanaacha kazi kusomea IT, rubani Hana tofauti na dereva wa gari tofauti wewe unapita chini yeye juu. Hata darasa la saba kama unajua kusoma naa kuandika unaweza jifunza urubani. Siyo ngumu sana, utachukuwa muda kujifunza katika takeoff na landing. Ni sifa tu kuwa rubani lakini mfukoni hakuna kitu zero kabisa.Natumai mu wazima wa afya. Pole kwa wanaoumwa, Mungu awajaalie mkapate afya njema.
Nimeona niwashauri kuhusu kozi na taaluma za kuwa nazo, vijana wetu wenye lengo la kwenda kujitolea JKT ili baadae waje kupata nafasi ya kuandikishwa JWTZ kwa urahisi.
Kijana, kama una nia ya kuja kulitumikia taifa letu hili pendwa la Tanzania kupitia kuwa mwanajeshi JWTZ, soma kozi hizi ili ukienda kujitolea JKT ikuwie rahisi kuandikishwa kufanya kozi ya jeshi la wananchi JWTZ.
1. Kozi zote za afya. Udaktari, unesi, ufamasia, radiographia n.k pata certificate, diploma, degree, masters mpaka PhD ya taaluma za afya, hutajutia.
2. Urubani. Ukisoma kozi hii, hata JKT unaweza usipite, ila sasa hakikisha kwenu muwe mna hela ya kutosha sio ya kubababisha maana urubani si mchezo, mpaka milioni 200 +.
Hizi ndio kozi za uhakika, ukiwa na hizo fani, ukaenda JKT, siku JWTZ wakija kuwafanyia usaili hutakosa kupata nafasi kwenda kuvaa bakabaka.
Mbali na hapo, jiandae kutoboa mkataba na kurudi nyumbani, au ujiandae kwenda polisi, Magereza, uhamiaji au wanyamapori (ukibahatika).
Ni hayo tuu kwa leo, nakaribisha michango ya wengine. Muwe na muda mwema sana
SawaAhsante kwa muongozo, ngoja waje...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aiseeeh nyie watu, siyo upuuzi bali Ni uzalendo. Kuna watu wamesomea urubani wa kiraia, na kwa sasa wapo jeshini (JWTZ) ni marubani wanalitumikia Taifa letu zuri la Tanzania.Ni upuuzi
Rubani wanapata mshahara mkubwa sana ndugu Kokolo na jeshini wana nafasi kubwa pia ya kuandikishwa.Hapo no. 2. Hapana , rubani.mshahara wake mdogo Sana nchi za wengine rubani wanaacha kazi kusomea IT, rubani Hana tofauti na dereva wa gari tofauti wewe unapita chini yeye juu. Hata darasa la saba kama unajua kusoma naa kuandika unaweza jifunza urubani. Siyo ngumu sana, utachukuwa muda kujifunza katika takeoff na landing. Ni sifa tu kuwa rubani lakini mfukoni hakuna kitu zero kabisa.
Mkuu wanaingia JW Kwa short course ya miezi mitatu ??Kama hiyo ya udoctor mwaka juzi walichukua hadi uraiani wakaenda kupigwa shoti kozi ya miezi 3 saa hivi eti ni maafisa wanakula shavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo ambao wanapenda tu ndio maana unaona ndege za kijeshi zinaruka kila siku kwani hao wamewatoa wapi mzee? Mie Kuna interview nikifanya 2008 alikuwepo pilot mmoja amesoma south Africa mpaka hata kwenye interview walimuuliza kwa nini unakuja jeshini wakati Kuna uhitaji mkubwa wa pilots Tanzania kwenye commercial airlines jamaa akawaambia yeye miaka yote amekuwa anatamani sana kuwa mwanajeshi.Yani mtu asome urubani akasotee jeshi
Piga kozi za ubaharia mzee nenda chuo Cha mabaharia pale town.Na wale wa marine???
Mpe mtaji wa kuuza chips akomae akizingua mnunulie jembe na heka mbili akalime aache ungeseNna dogo langu nunda limekataa shule limeishia STD 7 sijui niliuze wapi
Hehehehe dah haya bana wacha nisitie neno. Ila napenda kukuambia tu mie mzee wangu ni rubani, inategemea unaendesha ndege gani ya ukubwa upi maana ndege za commercial Wana mishahara minono sana kijana tatizo unataka uwe na masaa ya kutosha ya kukaa hewani ambayo unarekodi kwenye log book yako.Hapo no. 2. Hapana , rubani.mshahara wake mdogo Sana nchi za wengine rubani wanaacha kazi kusomea IT, rubani Hana tofauti na dereva wa gari tofauti wewe unapita chini yeye juu. Hata darasa la saba kama unajua kusoma naa kuandika unaweza jifunza urubani. Siyo ngumu sana, utachukuwa muda kujifunza katika takeoff na landing. Ni sifa tu kuwa rubani lakini mfukoni hakuna kitu zero kabisa.
upuuzi mtupu, mimi ukinieleza ni Daktari gani au rubani gani alishawahi kuwa tajiri au amewahi kuendesha nchi hapa duniani ndio nitakuelewa huu upuuzi ulioandika hapa.Natumai mu wazima wa afya. Pole kwa wanaoumwa, Mungu awajaalie mkapate afya njema.
Nimeona niwashauri kuhusu kozi na taaluma za kuwa nazo, vijana wetu wenye lengo la kwenda kujitolea JKT ili baadae waje kupata nafasi ya kuandikishwa JWTZ kwa urahisi.
Kijana, kama una nia ya kuja kulitumikia taifa letu hili pendwa la Tanzania kupitia kuwa mwanajeshi JWTZ, soma kozi hizi ili ukienda kujitolea JKT ikuwie rahisi kuandikishwa kufanya kozi ya jeshi la wananchi JWTZ.
1. Kozi zote za afya. Udaktari, unesi, ufamasia, radiographia n.k pata certificate, diploma, degree, masters mpaka PhD ya taaluma za afya, hutajutia.
2. Urubani. Ukisoma kozi hii, hata JKT unaweza usipite, ila sasa hakikisha kwenu muwe mna hela ya kutosha sio ya kubababisha maana urubani si mchezo, mpaka milioni 200 +.
Hizi ndio kozi za uhakika, ukiwa na hizo fani, ukaenda JKT, siku JWTZ wakija kuwafanyia usaili hutakosa kupata nafasi kwenda kuvaa bakabaka.
Mbali na hapo, jiandae kutoboa mkataba na kurudi nyumbani, au ujiandae kwenda polisi, Magereza, uhamiaji au wanyamapori (ukibahatika).
Ni hayo tuu kwa leo, nakaribisha michango ya wengine. Muwe na muda mwema sana
mkuu,unajuwa kuna marubani wa jwtz wanamuendesha Rais ? na waki staafu wanaajiriwa ma emirates huko hawa marubani wa jeshiUsome urubani kwa milioni 200 halafu uajiriwe JWTZ?
Mkuu unaongea ukweli mchungu sana.upuuzi mtupu, mimi ukinieleza ni Daktari gani au rubani gani alishawahi kuwa tajiri au amewahi kuendesha nchi hapa duniani ndio nitakuelewa huu upuuzi ulioandika hapa.
Baba wa mtengeza Facebook mwenyewe alikua daktari sasa kamwuulize kwanini alimweleza mtoto wake asome kompyuta.
Udaktari, afya, na ualimu ni kozi za watoto wa maskini wanaokimbilia kupata vikazi vya kimaskini.
Baada ya kuwashauri watu wasome kozi za kuendesha nchi au makampuni unawashauri wasome kozi za kugawa dawa dispensali.
hapo kwenye short course ya miezi mitatu ni fiksi mzee, Jeshi hata uwe na elimu gani lazima uhenye depo na sio mchezo baada ya kambi ndio kila mmoja anajisogeza kwenye kitengo chake.Kama hiyo ya udoctor mwaka juzi walichukua hadi uraiani wakaenda kupigwa shoti kozi ya miezi 3 saa hivi eti ni maafisa wanakula shavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kumshauri mtu hobbie sasa hapo ndipo unapokosea, hobbie haina haja ya kuiandikia uzi. Hobbie inakua ndani ya, mtu. Lengo la kuandika uzi ni kutoa ushauri. Sasa unaweza kumshauri mtu hobbie??? Kwamba umshauri mtu apende kucheza, karata wakati sio hobbie yake. Hobbie huwa haishauriwi.Mkuu unaongea ukweli mchungu sana.
Ila ni hivi mkuu kama mtu hobbie yake ipo kwenye udaktari muache aende tu akapige huwenda atakuja kuwa mgunduzi mzuri sana.
Tatizo waswahili tunasoma hizi fani ili tuajiriwe,tungekuwa na watu wanaosoma hizi fani ili mwisho wa siku 2aje kuwa wagunduzi binafsi na kulisaidia taifa basi tungeona matajiri katika fani hizi taratiiiibuu ila sasa tunasoma tuajiriwe.
Kuna ndugu yangu mmoja alikuwa anasoma udaktari akasema yeye anataka asome ili mwisho wa siku awe anafanya tafiti zake binafsi tu lakini akiwa MD atakuwa amepata pakuanzia.
Akishajua mechanism of action za dawa anaweza akaingia kwenye mimea na kufanya tafiti kujua mmea gani una mechanism of action sawa na diazepam au penicillin basi anaweza akawa na mwanzo mzuri
Kuna mtanzania namfahamu yupo kwenye tafiti za kwanini watu wanaota vipara ? Na kwa nini kipara hutokea juu ya kichwa ? Na sioupara utokee kwenye ndevu n.k ?
Hawa ni wqtanzania ambao hiyo fani ipo damuni,tukiwa na wwtu kama hawa 100 tu katika kila kozi ya udaktari basi tunaweza kufanya mapinduzi makubwa tu.
Raisi wa zanzobar wa sasa hivi Dr huseni mwinyi yule ni daktari by professional ila sasa hivi anakula nchi pale visiwani.
Mimi nadhani kuingia kwenye siasa haijalishi umesoma kpzi gani