Peponi kwenda kufanya nini.... kuimba mapambio?Wote sisi ni watoto wa baba mmoja Adam, na Mungu mmoja, God, Father, The Lord!. Siku yako ikifika, ukifika hukumuni, unaweza kushangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi peponi, halafu Bush, Blair na Obama...ndio wanaogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto wa milele!.
P
No sijaanza kujinasibisha, mimi Zanzibar inanihusu, Mzee Mayalla (RIP) ndiye alikuwa top wa ile kampuni ya Kiitaliano ya Cogifer, na aliishi sana Zanzibar, sasa sisi watu wa Kanda ile, na hizo rangi za Kizanzibari.... usikute nina wadogo zangu wa kutosha tuu huko.Hahahahaha naona ushaanza kujinasibisha na uzanzibari.
Utakuwa wa pemba ama unguja?
So what?Kuna wengine kwao kuandika ni passtime mpaka wapate muda, lakini kuna sisi wengine wetu, kuandika ndio kazi yetu, hivyo we have all the time in the world to write all this, na kwa taarifa yako tuu, nime post humu zaidi ya posts 40,000!.
P
Hatari snAmekosea, usiangalie mtu angalia mafundisho
No Ismail sio mtoto wa nje ya ndoa, mama yake Hagai alikuwa ni mjakazi, baba mwenye nyumba akizaa na mjakazi bila idhini ya mke, ndipo mtoto anayezaliwa anakuwa ni mwanaharamu, lakini baba akizaa na mjakazi kwa ridhaa ya mkewe, yule mjakazi anakuwa ni mke mdogo, hivyo Ismail ni mtoto halali na ndiye mtoto wa kwanza wa Nabii Ibrahim.Daah kumbe ismail ni mtoto wa nje ya ndoa na ndio baba wa uislamu
Aisee sikuwahi kujua hii
It's trueKwa wanaofutilia biblia wanasema Yesu hakuzaliwa tarehe 25 December,mfalme wa Rumi ndo aliamua tarehe hiyo iwe kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu,lakini ktk bible Yesu hakusema tusherekee siku yake ya kuzaliwa, haya ni mapokeo kutoka kanisa la Rumi
Dini ni mwanzilishi, mwanzilishi wa Ukristo ni Yesu aitwae Kristo, ametokea uzao wa Ibrahimu kwa Isaka na Yakobo.Kwa nini Ismail awe baba wa Waislamu wote na Isaka awe baba wa Wakristo
wote- Ibraham / Hagai wote walikuwa upande waislamu upande wakristo- hivyo hivyo kwa Ibarahim na Sara- kwa mimi Ismail na Isaka ni mtu na mdogo wake tu- mmoja ni baba yetu mkubwa mwingine mdogo - kwa dini zote.