Ku-date msichana aliye na umri kuanzia 27 na kuendelea raha sana, chini ya hapo stress mwanzo mwisho

Ndugu yangu, shukuru una mtu anatamani kukusikia, siku mambo yakibadilika; utazimiss hizo moments mpaka basi

Sawa Mkuu, ila kwanini tusilifanye suala la kuwasiliana katika utaratibu fulani. Tuongee asubuhi labda mchana ikipatikana nafasi ila usiku inakuwa muhimu kupeana mawazo ya hapa na pale juu ya changamoto za Maisha. Naelewa yeye anakuwa anataka hilo ila sasa kwanini usinitafute muda ambao nakua free sio kila saa simu [emoji849][emoji849][emoji849]
 

Ni kweli Mkuu, Hivi ukiwa na age kama 29 hivi ni age range gani inaweza kuwa muswano kuepuka mabalaa? Kwa mawazo yako mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. nimeishia hapo kwenye sema anakakitambi flani hivi noma sana
 
Ratiba zenu si zinajulikana? Kama anakutafuta muda ambao anajua kabisa umetingwa sio sawa. Na wewe jitahidi sasa ukiwa free unamcheki, sio ukiwa busy kimya, ukiwa free kimya pia; unasubiri hadi akuanze yeye. Itafika tu hatua, hata yeye akiona upo kimya, anajua kabisa huu ukimya lazima ametingwa, so anarelax hakusumbui.
 
Sasa mzee una miaka 30 unataka ukachukue katoto ka secondary unahisi mtakua mnaongea nini!? Ukichagua hivyo kubaliana na yote

Sent using Jamii Forums mobile app

Sina hamu na hao under 20 hata kidogo, akili zao za kitoto mnoo. Naendaga kwa wale wenye 23 hadi 28. Tofauti na hapo siendelei japo natamani nipate lidada lenye 35 hivi namimi na 29 yangu nionje utamu wa Namba C [emoji2][emoji2][emoji2]
 

Got you sis [emoji855]
 
Ndo hapo sasa na mtu anataka
Kukulazimisha uchati yy amekaa TV
Movie baada ya movie

Under 20 shda sana
Yeah! Nakumbuka nami nishawahi acha mtu kisa yuko busy muda wote,kuwasiliana usiku ambao nami nakuwa mechoka.Lakini sasa kutokana na ubusy nilionao naamini ni kweli alikuwa busy.Alikuwa adanganyi.ANISAMEHE BURE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…