EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Si umeshaanza kusoma hiyo HRM?Ungefanya decision mapema ingekuwa bora huoni kwamba sasa ni too late.Unasema human resources hainifai mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si umeshaanza kusoma hiyo HRM?Ungefanya decision mapema ingekuwa bora huoni kwamba sasa ni too late.Unasema human resources hainifai mkuu?
Ni kwamba naona mzigo unawalemea nyumbani...
Unaweza kuwa unapanga wewe ila mungu nae anapanga...
Na sio kila kitu kina enda according to plan..
Kwaio kulingana na uchumi inaonekana forest itakuwa nafuu kulingana na maelezo niliotoa hapo juu.
Ndo sababu ya kuomba ushauri kwa watu wenye experience na izi course.
Niko chuo semister 2 saiv first year.
Kwanini unataka kusoma forest? Na sio kozi ingine?
Sababu?we unashanga huyo kunadogo alitoka mweka akazama tandabui
✅ noted...nashukuru kwa adviceUpo Sahihi HRM graduate wengi Sana wapo Juu ya mawe unabidi kuwa mtu wa connection Sana ili ufikie ndoto zako.
Napokaa kidogo mashamba changamoto...ila nimekuskia mkuu✅Nakushauri postpone masomo, rudi kalime kwa malengo, au katafute pesa kwa namna yoyote, rudi chuo soma degree yako
Kasome forestry, hujapoteza muda, bado umri mdogo sana, kasome forestry itakulipa zaidi kuliko hiyo HRM1.chuo cha misitu kiko karibu na nyumbani so nitakuwa natokea nyumbani kuelekea chuo hivyo basi kupunguza kost za malazi..chakula
Wao watapambania ada.
2.wanahisi course hii ya human resources management haina soko mjini
Namba moja ndo kuu
✅Noted...samahan mkuu unaeza nipa na sababu za kushauri hvyo kama hutojali?Kasome forestry, hujapoteza muda, bado umri mdogo sana, kasome forestry itakulipa zaidi kuliko hiyo HRM
Sababu ni kuwa forestry ipo marketable zaidi ingawa mwajiri wake ni huyo huyo HR[emoji736]Noted...samahan mkuu unaeza nipa na sababu za kushauri hvyo kama hutojali?
Asante tena mkuu📌🙏Sababu ni kuwa forestry ipo marketable zaidi ingawa mwajiri wake ni huyo huyo HR
Lakini pia, kwa sasa upepo wa ajira umebadirika, ajira nyingi kwenye taasisi zinahitaji diploma na certificate
Zingatia pia mazingira uliyosema hapo awali kama upatikanaji wa pesa na huduma ukiwa unaendelea na masomo
Simshauri kijana wangu asome degree, kimbilio la sasa ni diploma
Hiyo sio sababu ya msingi. Akili yako inawaza leo haiwazi kesho.1.chuo cha misitu kiko karibu na nyumbani so nitakuwa natokea nyumbani kuelekea chuo hivyo basi kupunguza kost za malazi..chakula
Wao watapambania ada.
2.wanahisi course hii ya human resources management haina soko mjini
Namba moja ndo kuu
Weka data zilizo kamilika.Wakuu samahani..
Naomba mnisaidie ushauri.
Inaeza ikawa so mahala pake..
Niko chuo first year
Nachukua bachelor ya human resource
Ila sijapata mkopo
Me ni fresh toka advance.
Sasa nilikuwa nalipiwa kwa michango ya ndugu...ila naona kama inawawia vigumu.
Maana ada,chakula,malazi na mavazi juu ni wao wananisaidia 100%.
Kuna watu wanashauri nirudi nikasome diploma ya misitu.
Sababu...
1.chuo cha misitu kiko karibu na nyumbani so nitakuwa natokea nyumbani kuelekea chuo hivyo basi kupunguza kost za malazi..chakula
Wao watapambania ada.
2.wanahisi course hii ya human resources management haina soko mjini
Kwao itakuwa wame-waiste resources zao afu at the end nirudi kitaa kuhustle tena.
Umri
20 years
Elimu yangu
Form 4
Form 6
Ujuzi
Driving + licence daraja A A2 D
JKT 839
Post za polisi magereza uhamiaji zote huwa na jaribu kuomba....wanaopitia zile nyuzi tunakutana...
Wakubwa naomba mnishauri kushift kwenda io diploma ya misitu ntakuwa nimefanya chaguo sahihi?
unataka ajiajiri??? ili hali hana uwezo wa kupata mtaji???Hiyo sio sababu ya msingi. Akili yako inawaza leo haiwazi kesho.
Haya umemaliza hiyo diploma ya forestry then what next? Utaifanyia nini?
anaposema hivyo Ina maana ameshajua vigezo Vya forestry, vinginevyo asingewaza kwenda hukoWeka data zilizo kamilika.
Form 4 ulisoma masomo gani na una division ngapi?
Form6 umesoma kombi gani na una division ngapi?
Kwenda kusoma diploma ni kupoteza muda. Acha utoto.
Aache utoto sawa, mshauri afanye nnWeka data zilizo kamilika.
Form 4 ulisoma masomo gani na una division ngapi?
Form6 umesoma kombi gani na una division ngapi?
Kwenda kusoma diploma ni kupoteza muda. Acha utoto.