Kuacha degree ya Human Resources kwenda kusomea Diploma in Forestry

Kuacha degree ya Human Resources kwenda kusomea Diploma in Forestry

Wakuu samahani..

Naomba mnisaidie ushauri.

Inaeza ikawa so mahala pake..

Niko chuo first year

Nachukua bachelor ya human resource

Ila sijapata mkopo

Me ni fresh toka advance.

Sasa nilikuwa nalipiwa kwa michango ya ndugu...ila naona kama inawawia vigumu.

Maana ada,chakula,malazi na mavazi juu ni wao wananisaidia 100%.

Kuna watu wanashauri nirudi nikasome diploma ya misitu.

Sababu...

1.chuo cha misitu kiko karibu na nyumbani so nitakuwa natokea nyumbani kuelekea chuo hivyo basi kupunguza kost za malazi..chakula

Wao watapambania ada.

2.wanahisi course hii ya human resources management haina soko mjini

Kwao itakuwa wame-waiste resources zao afu at the end nirudi kitaa kuhustle tena.

Umri

20 years

Elimu yangu

Form 4

Form 6

Ujuzi

Driving + licence daraja A A2 D

JKT 839

Post za polisi magereza uhamiaji zote huwa na jaribu kuomba....wanaopitia zile nyuzi tunakutana...

Wakubwa naomba mnishauri kushift kwenda io diploma ya misitu ntakuwa nimefanya chaguo sahihi?
Bila connection utasota izo post za polisi na magereza
 
Kwa aliyepita jeshi 30 yrs anaajiriwa, kama hujapita jeshi ndyo lazma iwe below hiyo maana lazma upelekwe kozi hiyo ni kwa mujibu WA scheme of service

Utaratibu wa Jeshi la maliasi na utalii ni kwamba Certificate na diploma ni 25 years na Degree ni 28 Years. ina kunaweza kuwa na Kibali maalum kwa Madaktari marubani nk. hakunaga tofauti na hapo. jamaa akitala kusoma misitu inatakiwa hadi anafika miaka 25 awe amepata ajira
 
Which means asipopata imekula kwake. Shida ni kqamba atakuelewa!?
 
Nenda kasome kozi mojawapo kati ya hizi Chuo cha Bahari.
[1] Basic Technician Certificate (NTA Level 4) in Cargo Tallying and Supply Chain Management (BTCCTSM)
[2]Technician Certificate (NTA Level 5) in Shipping and Logistics Management (TCSLM).

achana na hako ka Human Resource kama hutaki kufa maskini.
watu wana procure na hakuna swaga wala nini
 
Mleta acha chuo then ngoja uombe LAW ya UDOM, Ushirika moshi au SAUT! Otherwise jiandae kwa maumivu zaidi miaka ijayo.
 
Pambana dogo bado kijana mdogo nakushauri kasomee misitu afu jaribu ajira za TFs hutajuta maishani hiyo human resources ni kupoteza mda tu graduate ni wengi mtaani!
Uvumilivu muhimu sana kwenye maisha ndo maana ukapita makuyuni
Nawakubali sana miamba wangu wa makuyuni sese,kitomari,urassa na wengine wengi
😂pamoja mkuu....mapacha kitomari na mashauri bado wapo asee walimu wa kwata Ao
 
Bila connection utasota izo post za polisi na magereza
Kabsa nimeshuhudia kwa macho
Utaratibu wa Jeshi la maliasi na utalii ni kwamba Certificate na diploma ni 25 years na Degree ni 28 Years. ina kunaweza kuwa na Kibali maalum kwa Madaktari marubani nk. hakunaga tofauti na hapo. jamaa akitala kusoma misitu inatakiwa hadi anafika miaka 25 awe amepata ajira
Mleta acha chuo then ngoja uombe LAW ya UDOM, Ushirika moshi au SAUT! Otherwise jiandae kwa maumivu zaidi miaka ijayo.
Mleta acha chuo then ngoja uombe LAW ya UDOM, Ushirika moshi au SAUT! Otherwise jiandae kwa maumivu zaidi miaka ijayo.
Mkopo boss ndo inakuja kuleta shida....kama umesoma apo juu gharama za kujilipia ndo zinaleta shida
 
Utaratibu wa Jeshi la maliasi na utalii ni kwamba Certificate na diploma ni 25 years na Degree ni 28 Years. ina kunaweza kuwa na Kibali maalum kwa Madaktari marubani nk. hakunaga tofauti na hapo. jamaa akitala kusoma misitu inatakiwa hadi anafika miaka 25 awe amepata ajira
Ni kweli...majeshi mengi elimu ya form four mpka diploma CUT POINT inakuwawaga 25 maximum nahisi ata TFS inaapply hvyo
 
I assume umesoma HGL japo kwenye jibu ulilojibu hujasema.

Kwanza kwenda diploma ni kupiteza muda.

Mimi nakushauri kwa sababu una div2 ya hgl nenda kasome degree ya LAW atleast hii ni rahisi kujiajiri na kuajiriwa ukifanikiwa kutoka law school!

Ungekua umesoma sayansi alevo ningekushauri tofauti ila Hiyo naona ni kozi nzuri kwa mtu wa arts!

Ni heri upostpond mwaka then mwakani uombe LAW. Kwa ufaulu wako uombe chuo cha ushirika moshi, UDOM na SAUT!

NB: Chondechonde usipoteze muda kusoma diploma kwa ufaulu wako wa form6!
Nimesoma HGL advance mkuu nahisi nilitaja seemu
 
Achana na stori za vijiweni mkuu.
Changamoto ya uhaba wa ajira nchi hii ipo kwa kozi zote.

Usithubutu kurudi nyuma na kupoteza muda kwenda kuanza diploma.
Endelea kusoma digrii ya HRM hiyohiyo ambayo umeshaianza,
tena isome kwa upendo, juhudi na nia sana.
Na uhakikishe kila ufanyapo U.E unafaulu kwa GPA nzuri ya kuanzia upper second class,
Michongo utaikuta ufikapo uraiani.
Cha kuongezea atafute 4.0 GPA, vyuo vinamwaga kazi.
 
I assume umesoma HGL japo kwenye jibu ulilojibu hujasema.

Kwanza kwenda diploma ni kupiteza muda.

Mimi nakushauri kwa sababu una div2 ya hgl nenda kasome degree ya LAW atleast hii ni rahisi kujiajiri na kuajiriwa ukifanikiwa kutoka law school!

Ungekua umesoma sayansi alevo ningekushauri tofauti ila Hiyo naona ni kozi nzuri kwa mtu wa arts!

Ni heri upostpond mwaka then mwakani uombe LAW. Kwa ufaulu wako uombe chuo cha ushirika moshi, UDOM na SAUT!

NB: Chondechonde usipoteze muda kusoma diploma kwa ufaulu wako wa form6!
Law school,itakuwa ngum maana anasema Ada yake kupata nickuchangiwa
 
Back
Top Bottom