Kuacha degree ya Human Resources kwenda kusomea Diploma in Forestry

Kuacha degree ya Human Resources kwenda kusomea Diploma in Forestry

Law school,itakuwa ngum maana anasema Ada yake kupata nickuchangiwa
Kwani hiyo diplona atasoma bure?

Law school sio shida, kwanza asome LLB mengine atapata njia mbeleni. Sio lazima asome law school baada ya kutoka chuo.
 
iO
inaeza.
Seem ,Post #19
Hata nilipokuwa form one tu sikuwa kilaza namna hiyo.
Afisa utumishi wa hovyo, ni heri ukasomee misitu ushinde maporini.
 
Wakuu samahani..

Naomba mnisaidie ushauri.

Inaeza ikawa so mahala pake..

Niko chuo first year

Nachukua bachelor ya human resource

Ila sijapata mkopo

Me ni fresh toka advance.

Sasa nilikuwa nalipiwa kwa michango ya ndugu...ila naona kama inawawia vigumu.

Maana ada,chakula,malazi na mavazi juu ni wao wananisaidia 100%.

Kuna watu wanashauri nirudi nikasome diploma ya misitu.

Sababu...

1.chuo cha misitu kiko karibu na nyumbani so nitakuwa natokea nyumbani kuelekea chuo hivyo basi kupunguza kost za malazi..chakula

Wao watapambania ada.

2.wanahisi course hii ya human resources management haina soko mjini

Kwao itakuwa wame-waiste resources zao afu at the end nirudi kitaa kuhustle tena.

Umri

20 years

Elimu yangu

Form 4

Form 6

Ujuzi

Driving + licence daraja A A2 D

JKT 839

Post za polisi magereza uhamiaji zote huwa na jaribu kuomba....wanaopitia zile nyuzi tunakutana...

Wakubwa naomba mnishauri kushift kwenda io diploma ya misitu ntakuwa nimefanya chaguo sahihi?
Nadhani unatakiwa pia wewe mwenyewe ujiuize wewe kama wewe ungependelea kufanya nini maishani mwako kati ya kuwa Afisa Misitu na kuwa HR.
Soma kitu uachokipenda, kama ni suala la ajira hata huko kwenye Misitu ajira hakuna
 
Kwani hiyo diplona atasoma bure?

Law school sio shida, kwanza asome LLB mengine atapata njia mbeleni. Sio lazima asome law school baada ya kutoka chuo.
Mkuu kwa diploma nilielezea kwamba chuo kiko karibu na home...meaning
Ntakuwa nakula na kulala nyumbani for free tofaut na nikisoma vyuo vya mbali na nyumbani ambavyo itawabidi
Walipe ada plus chakula + malazi.
 
Nenda kasome kozi mojawapo kati ya hizi Chuo cha Bahari.
[1] Basic Technician Certificate (NTA Level 4) in Cargo Tallying and Supply Chain Management (BTCCTSM)
[2]Technician Certificate (NTA Level 5) in Shipping and Logistics Management (TCSLM).

achana na hako ka Human Resource kama hutaki kufa maskini.
Mkuu ,hii imekaaje baada ya kuhitimu inayo fursa za ajira za kutosha ?ama
 
Nadhani unatakiwa pia wewe mwenyewe ujiuize wewe kama wewe ungependelea kufanya nini maishani mwako kati ya kuwa Afisa Misitu na kuwa HR.
Soma kitu uachokipenda, kama ni suala la ajira hata huko kwenye Misitu ajira hakuna
Ni kweli kiongozi....me mwenyew sijakaa chini kujiuliza napenda kazi ipi zaidi
Kilichoko kichwan mda huu ni kuwashushia cost nyumbani...
Na namna ya kuweza kuanza kozi itakayo niwezesha kuanza kufight kwa haraka.
Nilichogundua kwenye maisha bana kuna mda inabidi uchague kinachokubidi na sio unachokitamani.
 
Nilikuwa Nawaza sababu ya Gamba kama nikafanikiwa kushift...nipambanie diploma io na uku natafta namna ya kuingia chomboni
UHAMIAJI
MAGEREZA
POLISI.
Maan mahovyohovyo nayaweza
 
Nilikuwa Nawaza sababu ya Gamba kama nikafanikiwa kushift...nipambanie diploma io na uku natafta namna ya kuingia chomboni
UHAMIAJI
MAGEREZA
POLISI.
Maan mahovyohovyo nayaweza
Duuh! Diploma na upolisi tena? Mpaka nakuonea huruma.

Anyway, tumesha kushauri kazi kwako!
 
Mkuu kwa diploma nilielezea kwamba chuo kiko karibu na home...meaning
Ntakuwa nakula na kulala nyumbani for free tofaut na nikisoma vyuo vya mbali na nyumbani ambavyo itawabidi
Walipe ada plus chakula + malazi.

Kasome LAW mdogo wangu acha kupoteza muda!

NB: kama kuna ulazima wa diploma kasome geoinfomatics japo na yenyewe nisingekushauri sana maana una vigezo vya degree!!

Jali muda kijana maisha ni mafupi haya
 
Sawa mkuu nimekuelewa.
Vigezo vinaeza kuwepo ila ni issue ya finance ndo changamoto.
Maan loan nilikosa sasa nikienda law inamaana naeza kukosa tena ikabidi nijilipie na tatizo ntakuwa nimeliamisha tu na sio kulitatua
 
Ni wachache sana wanaofanya Kazi za kozi walizosomea
 
Kasome VETA tu
Nilikuwa nawaza na io...sema veta kozi zao huwa ni six weeks...
Kwaio kama nikajikusanya nikapata pesa kidogo nikapige ata likizo za chuo niongeze na icho cheti maana licence ninayo.

Niwe najaribu na izi kazi za dereva za halmashauri
 
Mkuu ,hii imekaaje baada ya kuhitimu inayo fursa za ajira za kutosha ?ama
Bado zipo kwani si wengi wanaojua hizo kozi kwa aina ya uchumi wetu. Ajira zake ni katika Mamlaka ya Bandari, Shirika la Meli, Makampuni ya usafirishahi bidhaa majini na kampuni za ufasirishaji mizigo.
 
Back
Top Bottom