Kuacha degree ya Human Resources kwenda kusomea Diploma in Forestry

Kuacha degree ya Human Resources kwenda kusomea Diploma in Forestry

Kama marks form six zinaruhusu nenda degree kabisa ya forestry

Au ikishndikana nenda diploma ya clinical medicine au diploma ya nursing
Amesema kuwa anataka kusoma forestry sababu ya kiuchumi pia, chuo kipo karibu na nyumbani
 
Nenda kasome kozi mojawapo kati ya hizi Chuo cha Bahari.
[1] Basic Technician Certificate (NTA Level 4) in Cargo Tallying and Supply Chain Management (BTCCTSM)
[2]Technician Certificate (NTA Level 5) in Shipping and Logistics Management (TCSLM).

achana na hako ka Human Resource kama hutaki kufa maskini.
Hizi course zinatolewa chuo gani??
 
Mtoto wa maskini kusoma HR ni bora uombe hiyo ada ya mwaka mmoja ukafanyie ujasiriamali kama ukikosa jambo la kusoma. Sina classmate aliyesoma HR ila ninaowajua hakuna aliyewahi pata hata internship.

Kiwanda hakina HR kabisa , ofisi kubwa ina watu kama 100 na HR mmoja, hoteli kubwa HR mmoja. Yani unaweza miliki biashara nyingi tu kwa kutumia HR huyohuyo mengine ni managerial.

Hao wanakosa ada vile hawana imani na unachosoma, hakuna mtu anataka atoe msaada ambao hautosaidia.
 
Fanya iv andika barua kuhairisha masomo sababu financial matter.
Nenda kachape diploma iz
Kilimo
Seed technology
mifugo
Misitu
nyuki.

Izo 3 za juu pale sua ada laki 9 miaka 2 ukitoka hapo mwenye degree ys HR hakugusi

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ntaongea na familia niwajulishe mawazo yote ninayopata niwape mrejesho
 
Chuo nilicho lenga wakubwa kinaitwa FTI
(FOREST TRAINING INSTITUTE)
kinatoa certificate adi diploma

Na kwa maelezo niliosoma
Kujiunga diploma
Wameeandika hivi nanukuu...

"The candidate must at least have Technician Certificate in Forestry (NTA Level 5) or its equivalent from recognized institutions by NACTE; or have Advanced Level Certificate of Secondary Education or its equivalent with a principal pass in Biology or Chemistry or Geography or Agriculture science or Physics and subsidiary pass in any subjects."

Kwa mchepuo wangu kwa sababu nimesoma Geography naona wanaweza nichukua.

Na kwa kuuliza icho chuo diploma one ni forestry...diploma two unaweza choose kati ya kozi hizi mbili zifuatazo÷

1.ordinary diploma in urban Forestry and landscaping

2.ordinary diploma in geoinfromatics for natural resource management
 
Weka data zilizo kamilika.

Form 4 ulisoma masomo gani na una division ngapi?

Form6 umesoma kombi gani na una division ngapi?

Kwenda kusoma diploma ni kupoteza muda. Acha utoto.
Form four nimesoma science
English B
Civics B
Geography c
Kiswahili C
Chemistry C
History C
Biology C
Mathematics F
Physics F

Division Two point 19

Form six
2.11
 
Kwa Mimi swala la ajira nj gum tu,kitu pekee nachoamini linaweza kukutoa mtaani km hutaki kujiajiri Basi ni kwenda kusoma Mambo ya kilimo,Mambo ya hospitali sijui nurse,doctor,animal sisemi kwamba ndo utapata kazi Ila angalau
 
Form four nimesoma science
English B
Civics B
Geography c
Kiswahili C
Chemistry C
History C
Biology C
Mathematics F
Physics F

Division Two point 19

Form six
2.11

I assume umesoma HGL japo kwenye jibu ulilojibu hujasema.

Kwanza kwenda diploma ni kupiteza muda.

Mimi nakushauri kwa sababu una div2 ya hgl nenda kasome degree ya LAW atleast hii ni rahisi kujiajiri na kuajiriwa ukifanikiwa kutoka law school!

Ungekua umesoma sayansi alevo ningekushauri tofauti ila Hiyo naona ni kozi nzuri kwa mtu wa arts!

Ni heri upostpond mwaka then mwakani uombe LAW. Kwa ufaulu wako uombe chuo cha ushirika moshi, UDOM na SAUT!

NB: Chondechonde usipoteze muda kusoma diploma kwa ufaulu wako wa form6!
 
Chuo nilicho lenga wakubwa kinaitwa FTI
(FOREST TRAINING INSTITUTE)
kinatoa certificate adi diploma

Na kwa maelezo niliosoma
Kujiunga diploma
Wameeandika hivi nanukuu...

"The candidate must at least have Technician Certificate in Forestry (NTA Level 5) or its equivalent from recognized institutions by NACTE; or have Advanced Level Certificate of Secondary Education or its equivalent with a principal pass in Biology or Chemistry or Geography or Agriculture science or Physics and subsidiary pass in any subjects."

Kwa mchepuo wangu kwa sababu nimesoma Geography naona wanaweza nichukua.

Na kwa kuuliza icho chuo diploma one ni forestry...diploma two unaweza choose kati ya kozi hizi mbili zifuatazo÷

1.ordinary diploma in urban Forestry and landscaping

2.ordinary diploma in geoinfromatics for natural resource management
Kwa mbali ningekushauri hiyo geoinformatics LAKINI KWANINI UKAISOMA DIPLOMA WAKATI ARDHI UNAWEZA KUSOMA DEGREE KABISA?

Nenda kaangalie prospectus ya ardhi ungalie kozi unazo weza soma kwa degree!

Jali muda kijana!
 
Fanya iv andika barua kuhairisha masomo sababu financial matter.
Nenda kachape diploma iz
Kilimo
Seed technology
mifugo
Misitu
nyuki.

Izo 3 za juu pale sua ada laki 9 miaka 2 ukitoka hapo mwenye degree ys HR hakugusi

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Umeongea point ya msingi Sasa vijana wa sasa hivi wataweza kuga nyuki leave alone kilimo na mifugo?
 
Ushauri wa bure nenda kasome upakaji rangi wa majumba, au upauwaji wa majumba

Utanishukuru badae hiyo ni ajira mkononi na badae una uwezo wa kufungua kampuni kabisa
 
Wakuu samahani..

Naomba mnisaidie ushauri.

Inaeza ikawa so mahala pake..

Niko chuo first year

Nachukua bachelor ya human resource

Ila sijapata mkopo

Me ni fresh toka advance.

Sasa nilikuwa nalipiwa kwa michango ya ndugu...ila naona kama inawawia vigumu.

Maana ada,chakula,malazi na mavazi juu ni wao wananisaidia 100%.

Kuna watu wanashauri nirudi nikasome diploma ya misitu.

Sababu...

1.chuo cha misitu kiko karibu na nyumbani so nitakuwa natokea nyumbani kuelekea chuo hivyo basi kupunguza kost za malazi..chakula

Wao watapambania ada.

2.wanahisi course hii ya human resources management haina soko mjini

Kwao itakuwa wame-waiste resources zao afu at the end nirudi kitaa kuhustle tena.

Umri

20 years

Elimu yangu

Form 4

Form 6

Ujuzi

Driving + licence daraja A A2 D

JKT 839

Post za polisi magereza uhamiaji zote huwa na jaribu kuomba....wanaopitia zile nyuzi tunakutana...

Wakubwa naomba mnishauri kushift kwenda io diploma ya misitu ntakuwa nimefanya chaguo sahihi?
Pambana dogo bado kijana mdogo nakushauri kasomee misitu afu jaribu ajira za TFs hutajuta maishani hiyo human resources ni kupoteza mda tu graduate ni wengi mtaani!
Uvumilivu muhimu sana kwenye maisha ndo maana ukapita makuyuni
Nawakubali sana miamba wangu wa makuyuni sese,kitomari,urassa na wengine wengi
 
Kimbia haraka sana sana

Kozi unayosoma lazima uwe na connection la sivyo utasota sana kitaa
 
Back
Top Bottom