Kuacha degree ya Human Resources kwenda kusomea Diploma in Forestry

Bila connection utasota izo post za polisi na magereza
 
Kwa aliyepita jeshi 30 yrs anaajiriwa, kama hujapita jeshi ndyo lazma iwe below hiyo maana lazma upelekwe kozi hiyo ni kwa mujibu WA scheme of service

Utaratibu wa Jeshi la maliasi na utalii ni kwamba Certificate na diploma ni 25 years na Degree ni 28 Years. ina kunaweza kuwa na Kibali maalum kwa Madaktari marubani nk. hakunaga tofauti na hapo. jamaa akitala kusoma misitu inatakiwa hadi anafika miaka 25 awe amepata ajira
 
Which means asipopata imekula kwake. Shida ni kqamba atakuelewa!?
 
watu wana procure na hakuna swaga wala nini
 
Mleta acha chuo then ngoja uombe LAW ya UDOM, Ushirika moshi au SAUT! Otherwise jiandae kwa maumivu zaidi miaka ijayo.
 
😂pamoja mkuu....mapacha kitomari na mashauri bado wapo asee walimu wa kwata Ao
 
Bila connection utasota izo post za polisi na magereza
Kabsa nimeshuhudia kwa macho
Mleta acha chuo then ngoja uombe LAW ya UDOM, Ushirika moshi au SAUT! Otherwise jiandae kwa maumivu zaidi miaka ijayo.
Mleta acha chuo then ngoja uombe LAW ya UDOM, Ushirika moshi au SAUT! Otherwise jiandae kwa maumivu zaidi miaka ijayo.
Mkopo boss ndo inakuja kuleta shida....kama umesoma apo juu gharama za kujilipia ndo zinaleta shida
 
Ni kweli...majeshi mengi elimu ya form four mpka diploma CUT POINT inakuwawaga 25 maximum nahisi ata TFS inaapply hvyo
 
Nimesoma HGL advance mkuu nahisi nilitaja seemu
 
Cha kuongezea atafute 4.0 GPA, vyuo vinamwaga kazi.
 
Law school,itakuwa ngum maana anasema Ada yake kupata nickuchangiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…