Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwani hiyo diplona atasoma bure?Law school,itakuwa ngum maana anasema Ada yake kupata nickuchangiwa
Nadhani unatakiwa pia wewe mwenyewe ujiuize wewe kama wewe ungependelea kufanya nini maishani mwako kati ya kuwa Afisa Misitu na kuwa HR.Wakuu samahani..
Naomba mnisaidie ushauri.
Inaeza ikawa so mahala pake..
Niko chuo first year
Nachukua bachelor ya human resource
Ila sijapata mkopo
Me ni fresh toka advance.
Sasa nilikuwa nalipiwa kwa michango ya ndugu...ila naona kama inawawia vigumu.
Maana ada,chakula,malazi na mavazi juu ni wao wananisaidia 100%.
Kuna watu wanashauri nirudi nikasome diploma ya misitu.
Sababu...
1.chuo cha misitu kiko karibu na nyumbani so nitakuwa natokea nyumbani kuelekea chuo hivyo basi kupunguza kost za malazi..chakula
Wao watapambania ada.
2.wanahisi course hii ya human resources management haina soko mjini
Kwao itakuwa wame-waiste resources zao afu at the end nirudi kitaa kuhustle tena.
Umri
20 years
Elimu yangu
Form 4
Form 6
Ujuzi
Driving + licence daraja A A2 D
JKT 839
Post za polisi magereza uhamiaji zote huwa na jaribu kuomba....wanaopitia zile nyuzi tunakutana...
Wakubwa naomba mnishauri kushift kwenda io diploma ya misitu ntakuwa nimefanya chaguo sahihi?
Mkuu kwa diploma nilielezea kwamba chuo kiko karibu na home...meaningKwani hiyo diplona atasoma bure?
Law school sio shida, kwanza asome LLB mengine atapata njia mbeleni. Sio lazima asome law school baada ya kutoka chuo.
Mkuu ,hii imekaaje baada ya kuhitimu inayo fursa za ajira za kutosha ?amaNenda kasome kozi mojawapo kati ya hizi Chuo cha Bahari.
[1] Basic Technician Certificate (NTA Level 4) in Cargo Tallying and Supply Chain Management (BTCCTSM)
[2]Technician Certificate (NTA Level 5) in Shipping and Logistics Management (TCSLM).
achana na hako ka Human Resource kama hutaki kufa maskini.
Ni kweli kiongozi....me mwenyew sijakaa chini kujiuliza napenda kazi ipi zaidiNadhani unatakiwa pia wewe mwenyewe ujiuize wewe kama wewe ungependelea kufanya nini maishani mwako kati ya kuwa Afisa Misitu na kuwa HR.
Soma kitu uachokipenda, kama ni suala la ajira hata huko kwenye Misitu ajira hakuna
Duuh! Diploma na upolisi tena? Mpaka nakuonea huruma.Nilikuwa Nawaza sababu ya Gamba kama nikafanikiwa kushift...nipambanie diploma io na uku natafta namna ya kuingia chomboni
UHAMIAJI
MAGEREZA
POLISI.
Maan mahovyohovyo nayaweza
Mkuu kwa diploma nilielezea kwamba chuo kiko karibu na home...meaning
Ntakuwa nakula na kulala nyumbani for free tofaut na nikisoma vyuo vya mbali na nyumbani ambavyo itawabidi
Walipe ada plus chakula + malazi.
Sawa mkuu nimekuelewa.Kasome LAW mdogo wangu acha kupoteza muda!
NB: kama kuna ulazima wa diploma kasome geoinfomatics japo na yenyewe nisingekushauri sana maana una vigezo vya degree!!
Jali muda kijana maisha ni mafupi haya
Kazi ni kazi mkuu...sichaguiDuuh! Diploma na upolisi tena? Mpaka nakuonea huruma.
Anyway, tumesha kushauri kazi kwako!
📌nimeaminiSoma tu chaguo lako mtaani hapahitaji degree
Law Haina issue kabisaaa Bora HRMleta acha chuo then ngoja uombe LAW ya UDOM, Ushirika moshi au SAUT! Otherwise jiandae kwa maumivu zaidi miaka ijayo.
Ni kweli...yan ikitokea nafasi yoyote ya kazi naona na fiti nayoNi wachache sana wanaofanya Kazi za kozi walizosomea
Nilikuwa nawaza na io...sema veta kozi zao huwa ni six weeks...Kasome VETA tu
Bado zipo kwani si wengi wanaojua hizo kozi kwa aina ya uchumi wetu. Ajira zake ni katika Mamlaka ya Bandari, Shirika la Meli, Makampuni ya usafirishahi bidhaa majini na kampuni za ufasirishaji mizigo.Mkuu ,hii imekaaje baada ya kuhitimu inayo fursa za ajira za kutosha ?ama
ShukraniBado zipo kwani si wengi wanaojua hizo kozi kwa aina ya uchumi wetu. Ajira zake ni katika Mamlaka ya Bandari, Shirika la Meli, Makampuni ya usafirishahi bidhaa majini na kampuni za ufasirishaji mizigo.