Ukweli , ila tafiti nyingi zinaonyesh 70% za biashara nyingi hazifiki miaka mitano, binafsi naona kama ni biashara za kuchuuza tu unaweza fanya na ukabaki kwenye ajira yako.Ni ujasiri mkubwa sana mkuu, mimi mwaka jana December 31 ndo ilikua mwisho wangu wa kuajiriwa, Kuanzia January mwaka huu nimeingia rasmi kwenye biashara, ndani ya miezi mitatu nimekutana na changamoto nyingi sana, lakini bado liko tumaini kubwa katika ndoto yangu
Swala la kuacha kazi inabidi liwe ni maamuzi yako binafsi, usifanye kwa msukumo wa watu na wala usifanye kwa kuiga kisa fulani ameacha kazi
Kazi za kuajiriwa kuna namna flani zinafanya watu wana relax mnoo ndo maana unakuta muajiriwa kuanzia leo ijumaa kuu mpaka tarehe 07 karume day yeye anakula good time tuu (Ana OFF) ila hana hofu coz pesa yake iko palepale na ana uhakika
Kwa mimi ambaye nimeingia kwenye biashara sina Off daily nipo mzigoni coz nkilala ujue hiyo siku hakuna hela inaingia, na nnafanya hivi coz bado biashara ni changa, bado sijaweza kutengeneza means zingine za kuingiza kipato
Kwa kumalizia mtu anayejiajiri akili inachangamka sana na inamfanya aweze kutafuta njia nyingi za kuingiza pesa
Kwahiyo mkuu kama ndani ya nafsi yako unapata msukumo wa kuacha kazi ili ujiajiri fanya hivo mara moja usisubiri ushauri hautakusaidia chochote
Kuniita hapa bila location 😢Bro ungekuwa karibu ningekusikiliza na tungekushauriana vizur sana na kwa mifano.
Ila naona umeuliza kwa juu juu. Ngoja nisitie neno.
NB: Wadogo zangu. Hata najua basi na win-one
Karibun bia. View attachment 3567020
Kuniita hapa bila location 😢
Mpka nawaza au umetokea tunduma kimekulamba😎
Location loading.....................
Saafi usiingie mtegoni kumbuka😂😂😂😂 alaf niko tu alone.
Karibu sana.
Ni Liquor store.
Alaf Pemben kuna pisi tatu (mhudumu kaleta mashosti zake) ila mm hata siwazingatii.
Najitunza sana yaan. 😂😂😂😂
Inategemea anafanya kazi gani.Usije kuacha kazi ikaja kuwa kazi kutafuta kazi
Saafi usiingie mtegoni kumbuka
Una ndoa ya kanisani kaka 😎
Ndoa na iheshimiwe na watu wote
Mie nipo nakemea usije kutereza ukaziangukia hizo Pisi enjoy 🍺
Sure, mimi nafanya kazi ,biashara na lima na vyote vinaenda pamoja , hii kitu ya kuacha kazi kwa hizi biashara ambazo kila mtu anafanya inahitajika umakini🤔Inategemea anafanya kazi gani.
Wapi? Kuna future gan? Baada ya miaka 3, 5 au 7 atakuwa wap?.
Kazi yake ni Career oriented?. Ni Skilled labour? (Amesomea na kupata certificate) Au unskilled kwamba hata akiacha leo, kesho atajifunza nyingne na ataweza na akaajiriwa?
Kuna vitu ving hajafunguka.
Sawa kaka jitunze but nimecheka sanaa😂😂Mm mwanaume, kuteleza kuko tu . Na tunateleza Sometimes.
Cha muhimu Ni kujitahidi usiumize Familia kwa namna yoyote ile.
Ila usijal mdogo wangu. najitunza 😂😂😂😂.
Thanks for Head Up.