min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kweli ๐๐Namalizia bia 1 nikalale.
Pisi hii nzur . Ina tatoo mkonon.
Huyu sio msabato kabisa naona ๐๐๐
View attachment 3567027
Kweli ๐๐Namalizia bia 1 nikalale.
Pisi hii nzur . Ina tatoo mkonon.
Huyu sio msabato kabisa naona ๐๐๐
View attachment 3567027
asante broh,, mi sikunywagi biaa ๐ช ila nimeona hapo jirani yako kuna wakala you can do something nipate fanta orange kesho baada ya sabato๐ค๐
Tatoo mkononi anywayNamalizia bia 1 nikalale.
Pisi hii nzur . Ina tatoo mkonon.
Huyu sio msabato kabisa naona ๐๐๐
View attachment 3567027
๐๐๐ mimi sikuona ila win umeona wakalaasante broh,, mi sikunywagi biaa ๐ช ila nimeona hapo jirani yako kuna wakala you can do something nipate fanta orange kesho baada ya sabato๐ค๐
Kweli ๐๐
ule msemo wa "mshika mawili moja humponyoka" hauuelewi sindio ba mchungaji๐๐๐hakuna nayoiacha zote nazifanya win
๐๐๐๐๐ we umeona nini๐๐๐ mimi sikuona ila win umeona wakala
sawaaa๐ช๐ชMdogo wangu mcute. Wakala amefunga tayar . Next time. Ulale unono
avae nini? ila mi mbona sijaona hata tatoo yenyewe jamani๐,, ila nimeona vidole vya miguu vya mdada vimepakwa rangi ya white๐๐Tatoo mkononi anyway
Vaa mbili au 3 au tufanye 4๐
Simu inazima au ushalewa bwashee?
mbona hauendi sasa๐๐๐๐ au nikutumie power bank ubaki na sisisijawah kulewa nikashindwa kujielewa au kuongea na watu. Mm nakunywa bia na sio spirit.
Niko kamil kabisa. S
๐๐๐ni msemo kama misemo mingine tu,ila win wanawake si mnasifika kufanya kazi tatu mpaka nne mkiwa nyumbani kwa wakati mmoja,unapika,unafanya usafi,unapata hile kitu,unalisha watoto ehh mnaweza etiule msemo wa "mshika mawili moja humponyoka" hauuelewi sindio ba mchungaji๐๐๐
Yeye si ndio yupo nae karibu mie nimechukua maelezo yake ๐๐avae nini? ila mi mbona sijaona hata tatoo yenyewe jamani๐,, ila nimeona vidole vya miguu vya mdada vimepakwa rangi ya white๐๐
Namalizia hii. Taa zimezimwa.mbona hauendi sasa๐๐๐๐ au nikutumie power bank ubaki na sisi
Ushaanza kulewa bwashee ๐Namalizia hii. Taa zimezimwa.
Hapa mnawaona fresh. Sio pisi zangu. Si umeona hata sijashoboka kuwanunulia kinywaji.
๐๐๐๐ sijataka mazoea View attachment 3567038
Ushaanza kulewa bwashee ๐
nimemuona win๐๐๐๐๐ we umeona nini
umekua kaka mzuri,, warembo ni wengi hauwezi kuwamaliza,, chagua ka chaka kako kamoja ujibanze life lisonge๐ค๐คNamalizia hii. Taa zimezimwa.
Hapa mnawaona fresh. Sio pisi zangu. Si umeona hata sijashoboka kuwanunulia kinywaji.
๐๐๐๐ sijataka mazoea