win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
๐๐๐๐๐๐ hebu pichanimemuona win
๐๐๐๐๐๐ hebu pichanimemuona win
Achague nini na ana mke tayaliumekua kaka mzuri,, warembo ni wengi hauwezi kuwamaliza,, chagua ka chaka kako kamoja ujibanze life lisonge๐ค๐ค
Kwa hiyo bwashee mpaka ziwe zako ndio unazinunulia vinywaji?๐ unavunja kanuni za ulevi bwasheeNamalizia hii. Taa zimezimwa.
Hapa mnawaona fresh. Sio pisi zangu. Si umeona hata sijashoboka kuwanunulia kinywaji.
๐๐๐๐ sijataka mazoea
Hahha kila mtu anashauri acha kazi acha kazi , hospitali ,mashule ma Bank na nk yote yakose wafanyakazi ,tukajazane kariakoo kama nyumbu wa serengeti ๐Inategemea na kazi, mtu ni Msajili wa Hazina, aache kazi hiyo aende wapi?
Kuna watu kazi ndio ndoto zao! ๐
Kuna mshikaji wangu mmoja (-), yeye tangu tupo form six alikuwa anasema ndoto yake ni kufanya kazi BoT. Na kweli yupo huko hivi leo, ni kitengo.
๐๐๐๐๐๐๐๐ hebu picha
kesi ya uhaini adhabu yake ni kunyongwaAchague nini na ana mke tayali
Anachofanya hapo ni uhaini tu ๐
Hahha kila mtu anashauri acha kazi acha kazi , hospitali ,mashule ma Bank na nk yote yakose wafanyakazi ,tukajazane kariakoo kama nyumbu wa serengeti ๐
hii comment nilikua sijaiona๐๐,,, hauoni hao hao madaktari wakihamia nje huwa wanawaelekeza wagonjwa kwenye maabara na maduka yao wakapate huduma?๐๐๐ni msemo kama misemo mingine tu,ila win wanawake si mnasifika kufanya kazi tatu mpaka nne mkiwa nyumbani kwa wakati mmoja,unapika,unafanya usafi,unapata hile kitu,unalisha watoto ehh mnaweza eti
madaktari wanawezaje kuajriwa na serikali na kufanya part time kwenye taasisi binafsi ๐๐
upo sahihi na serikali imeshindwa kudhibiti hiyo, na zile kazi zao za michongo wanazozita kuwasaidia wasichana ambao hawakua tayari kubeba mimbahii comment nilikua sijaiona๐๐,,, hauoni hao hao madaktari wakihamia nje huwa wanawaelekeza wagonjwa kwenye maabara na maduka yao wakapate huduma?
Safi mkuu..ingefaa utuletee uzi namna ulivyo acha kazi..inaweza kuinspire wengi..uliacha kwa barua rasmi ama uliondoka tuNi ujasiri mkubwa sana mkuu, mimi mwaka jana December 31 ndo ilikua mwisho wangu wa kuajiriwa, Kuanzia January mwaka huu nimeingia rasmi kwenye biashara, ndani ya miezi mitatu nimekutana na changamoto nyingi sana, lakini bado liko tumaini kubwa katika ndoto yangu
Swala la kuacha kazi inabidi liwe ni maamuzi yako binafsi, usifanye kwa msukumo wa watu na wala usifanye kwa kuiga kisa fulani ameacha kazi
Kazi za kuajiriwa kuna namna flani zinafanya watu wana relax mnoo ndo maana unakuta muajiriwa kuanzia leo ijumaa kuu mpaka tarehe 07 karume day yeye anakula good time tuu (Ana OFF) ila hana hofu coz pesa yake iko palepale na ana uhakika
Kwa mimi ambaye nimeingia kwenye biashara sina Off daily nipo mzigoni coz nkilala ujue hiyo siku hakuna hela inaingia, na nnafanya hivi coz bado biashara ni changa, bado sijaweza kutengeneza means zingine za kuingiza kipato
Kwa kumalizia mtu anayejiajiri akili inachangamka sana na inamfanya aweze kutafuta njia nyingi za kuingiza pesa
Kwahiyo mkuu kama ndani ya nafsi yako unapata msukumo wa kuacha kazi ili ujiajiri fanya hivo mara moja usisubiri ushauri hautakusaidia chochote
ndo kazi zipi hizo hebu nielezee kwa kina ba mch..ใใใ...upo sahihi na serikali imeshindwa kudhibiti hiyo, na zile kazi zao za michongo wanazozita kuwasaidia wasichana ambao hawakua tayari kubeba mimba
๐๐๐ndo kazi zipi hizo hebu nielezee kwa kina ba mch..ใใใ...
Utatoboa tu pambanaNi ujasiri mkubwa sana mkuu, mimi mwaka jana December 31 ndo ilikua mwisho wangu wa kuajiriwa, Kuanzia January mwaka huu nimeingia rasmi kwenye biashara, ndani ya miezi mitatu nimekutana na changamoto nyingi sana, lakini bado liko tumaini kubwa katika ndoto yangu