Kuacha kazi kwa ajili ya ndoto zako ni ujasiri au ujinga !

Kuacha kazi kwa ajili ya ndoto zako ni ujasiri au ujinga !

Sure, mimi nafanya kazi ,biashara na lima na vyote vinaenda pamoja , hii kitu ya kuacha kazi kwa hizi biashara ambazo kila mtu anafanya inahitajika umakinišŸ¤”

Alaf utakuta anaacha kaz na kwenda kujaribu kitu ambacho hata hajawah kufanya.

Angeanza taratibu na kuona matokeo yake. Alaf apime.
Na inategemea na kaz pia.

Afunguke zaid . Kaz gan anafanya na anataka kutimiza ndoto yake ipi?
Ana kipaji? Ujuzi wa kutimiza hizo ndoto?.

Aisee mambo ni mengi sana.
atulize kichwa
 
Aache tu kuna vijana wapo kitaa watalamba ajira
 
Alaf utakuta anaacha kaz na kwenda kujaribu kitu ambacho hata hajawah kufanya.

Angeanza taratibu na kuona matokeo yake. Alaf apime.
Na inategemea na kaz pia.

Afunguke zaid . Kaz gan anafanya na anataka kutimiza ndoto yake ipi?
Ana kipaji? Ujuzi wa kutimiza hizo ndoto?.

Aisee mambo ni mengi sana.
atulize kichwa
Kwa ushauri huu nina shaka haupo na hiišŸŗ ongezaaaaa
 
Ukweli , ila tafiti nyingi zinaonyesh 70% za biashara nyingi hazifiki miaka mitano, binafsi naona kama ni biashara za kuchuuza tu unaweza fanya na ukabaki kwenye ajira yako.
Me nimeingia kwenye biashara ya hardware nafanya huo huo uchuuzi, ila mkuu kusema ufanye biashara huku bado umeajiriwa sidhani kama utatoboa
 
Naongeza mdogo wangu. Neno lako ni sheria. šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚

alaf pisi zinakula chips hapa. Zimesogea meza niliyopo. Ngoja niipige picha kwa kuibia. (Ntaficha sura)

Ili ndugu yangu min -me uisaminishe
Kaka angu angalia hizo pisi isije kua ni wale wezi wa nyeti 😭
Maskin wifi yangu huko home😢
 
Bro ungekuwa karibu ningekusikiliza na tungekushauriana vizur sana na kwa mifano.
Ila naona umeuliza kwa juu juu. Ngoja nisitie neno.

NB: Wadogo zangu. Hata najua basi na win-one
Karibun bia. View attachment 3567020
asante broh,, mi sikunywagi biaa 😪 ila nimeona hapo jirani yako kuna wakala you can do something nipate fanta orange kesho baada ya sabatošŸ¤—šŸ˜‹
 
Hahaha nipo tayari bwashee

Namalizia bia 1 nikalale.
Pisi hii nzur . Ina tatoo mkonon.
Huyu sio msabato kabisa naona šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
PhotoCollage_1775248538282.jpg
 
Back
Top Bottom