Kuacha kazi kwa ajili ya ndoto zako ni ujasiri au ujinga !

Ni ujasiri mkubwa sana mkuu, mimi mwaka jana December 31 ndo ilikua mwisho wangu wa kuajiriwa, Kuanzia January mwaka huu nimeingia rasmi kwenye biashara, ndani ya miezi mitatu nimekutana na changamoto nyingi sana, lakini bado liko tumaini kubwa katika ndoto yangu

Swala la kuacha kazi inabidi liwe ni maamuzi yako binafsi, usifanye kwa msukumo wa watu na wala usifanye kwa kuiga kisa fulani ameacha kazi

Kazi za kuajiriwa kuna namna flani zinafanya watu wana relax mnoo ndo maana unakuta muajiriwa kuanzia leo ijumaa kuu mpaka tarehe 07 karume day yeye anakula good time tuu (Ana OFF) ila hana hofu coz pesa yake iko palepale na ana uhakika

Kwa mimi ambaye nimeingia kwenye biashara sina Off daily nipo mzigoni coz nkilala ujue hiyo siku hakuna hela inaingia, na nnafanya hivi coz bado biashara ni changa, bado sijaweza kutengeneza means zingine za kuingiza kipato

Kwa kumalizia mtu anayejiajiri akili inachangamka sana na inamfanya aweze kutafuta njia nyingi za kuingiza pesa

Kwahiyo mkuu kama ndani ya nafsi yako unapata msukumo wa kuacha kazi ili ujiajiri fanya hivo mara moja usisubiri ushauri hautakusaidia chochote
 
Ukweli , ila tafiti nyingi zinaonyesh 70% za biashara nyingi hazifiki miaka mitano, binafsi naona kama ni biashara za kuchuuza tu unaweza fanya na ukabaki kwenye ajira yako.
 
Kuniita hapa bila location 😒
Mpka nawaza au umetokea tunduma kimekulamba😎
Location loading.....................

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alaf niko tu alone.
Karibu sana.

Ni Liquor store.
Alaf Pemben kuna pisi tatu (mhudumu kaleta mashosti zake) ila mm hata siwazingatii.

Najitunza sana yaan. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alaf niko tu alone.
Karibu sana.

Ni Liquor store.
Alaf Pemben kuna pisi tatu (mhudumu kaleta mashosti zake) ila mm hata siwazingatii.

Najitunza sana yaan. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Saafi usiingie mtegoni kumbuka
Una ndoa ya kanisani kaka 😎
Ndoa na iheshimiwe na watu wote
Mie nipo nakemea usije kutereza ukaziangukia hizo Pisi enjoy 🍺
 
Usije kuacha kazi ikaja kuwa kazi kutafuta kazi
Inategemea anafanya kazi gani.
Wapi? Kuna future gan? Baada ya miaka 3, 5 au 7 atakuwa wap?.

Kazi yake ni Career oriented?. Ni Skilled labour? (Amesomea na kupata certificate) Au unskilled kwamba hata akiacha leo, kesho atajifunza nyingne na ataweza na akaajiriwa?

Kuna vitu ving hajafunguka.
 
Saafi usiingie mtegoni kumbuka
Una ndoa ya kanisani kaka 😎
Ndoa na iheshimiwe na watu wote
Mie nipo nakemea usije kutereza ukaziangukia hizo Pisi enjoy 🍺

Mm mwanaume, kuteleza kuko tu . Na tunateleza Sometimes.
Cha muhimu Ni kujitahidi usiumize Familia kwa namna yoyote ile.

Ila usijal mdogo wangu. najitunza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Thanks for Head Up.
 
Sure, mimi nafanya kazi ,biashara na lima na vyote vinaenda pamoja , hii kitu ya kuacha kazi kwa hizi biashara ambazo kila mtu anafanya inahitajika umakiniπŸ€”
 
Mm mwanaume, kuteleza kuko tu . Na tunateleza Sometimes.
Cha muhimu Ni kujitahidi usiumize Familia kwa namna yoyote ile.

Ila usijal mdogo wangu. najitunza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Thanks for Head Up.
Sawa kaka jitunze but nimecheka sanaaπŸ˜‚πŸ˜‚
Next time toa location mapema
Ili nikulinde na hizo pisi zisije kuharibu familia🀝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…