Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Sure, mimi nafanya kazi ,biashara na lima na vyote vinaenda pamoja , hii kitu ya kuacha kazi kwa hizi biashara ambazo kila mtu anafanya inahitajika umakini🤔
Aache tu kuna vijana wapo kitaa watalamba ajiraAlaf utakuta anaacha kaz na kwenda kujaribu kitu ambacho hata hajawah kufanya.
Angeanza taratibu na kuona matokeo yake. Alaf apime.
Na inategemea na kaz pia.
Afunguke zaid . Kaz gan anafanya na anataka kutimiza ndoto yake ipi?
Ana kipaji? Ujuzi wa kutimiza hizo ndoto?.
Aisee mambo ni mengi sana.
atulize kichwa
Kwa ushauri huu nina shaka haupo na hii🍺 ongezaaaaaAlaf utakuta anaacha kaz na kwenda kujaribu kitu ambacho hata hajawah kufanya.
Angeanza taratibu na kuona matokeo yake. Alaf apime.
Na inategemea na kaz pia.
Afunguke zaid . Kaz gan anafanya na anataka kutimiza ndoto yake ipi?
Ana kipaji? Ujuzi wa kutimiza hizo ndoto?.
Aisee mambo ni mengi sana.
atulize kichwa
ndoto ya kuwa rubanindoto ipi na kazi ipi tuanzie hapo
imeshategemeana mzani haubalanceInategemea!
Kwa ushauri huu nina shaka haupo na hii🍺 ongezaaaaa
Me nimeingia kwenye biashara ya hardware nafanya huo huo uchuuzi, ila mkuu kusema ufanye biashara huku bado umeajiriwa sidhani kama utatoboaUkweli , ila tafiti nyingi zinaonyesh 70% za biashara nyingi hazifiki miaka mitano, binafsi naona kama ni biashara za kuchuuza tu unaweza fanya na ukabaki kwenye ajira yako.
Kutoboa kufika wapi mkuu, mbona naishi maisha ninayotaka tu?Me nimeingia kwenye biashara ya hardware nafanya huo huo uchuuzi, ila mkuu kusema ufanye biashara huku bado umeajiriwa sidhani kama utatoboa
Kaka angu angalia hizo pisi isije kua ni wale wezi wa nyeti 😭Naongeza mdogo wangu. Neno lako ni sheria. 😂😂😂😂
alaf pisi zinakula chips hapa. Zimesogea meza niliyopo. Ngoja niipige picha kwa kuibia. (Ntaficha sura)
Ili ndugu yangu min -me uisaminishe
asante broh,, mi sikunywagi biaa 😪 ila nimeona hapo jirani yako kuna wakala you can do something nipate fanta orange kesho baada ya sabato🤗😋Bro ungekuwa karibu ningekusikiliza na tungekushauriana vizur sana na kwa mifano.
Ila naona umeuliza kwa juu juu. Ngoja nisitie neno.
NB: Wadogo zangu. Hata najua basi na win-one
Karibun bia. View attachment 3567020
Hapo umeridhika na maisha yako ila bado hujatoboa.... Unajua maana halisi ya kutoboa mkuu?Kutoboa kufika wapi mkuu, mbona naishi maisha ninayotaka tu?
Hajui kama maisha unayoKutoboa kufika wapi mkuu, mbona naishi maisha ninayotaka tu?
haya janja unataka uache kazi ipi😂ndoto ya kuwa rubani
Hahaha ningekua sina maisha , nisingekua hai😃Hajui kama maisha unayo
Labda kutoa mean kuacha 🍺
Nipe maana halasi ya kutoboa.Hapo umeridhika na maisha yako ila bado hujatoboa.... Unajua maana halisi ya kutoboa mkuu?
Aku ache my step dad 🤝Hahaha nisikua namaisha , nisingekua hai😃
Hahaha nipo tayari bwashee
hakuna nayoiacha zote nazifanya winhaya janja unataka uache kazi ipi😂