Kuacha kazi kwa ajili ya ndoto zako ni ujasiri au ujinga !

ule msemo wa "mshika mawili moja humponyoka" hauuelewi sindio ba mchungajiπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ni msemo kama misemo mingine tu,ila win wanawake si mnasifika kufanya kazi tatu mpaka nne mkiwa nyumbani kwa wakati mmoja,unapika,unafanya usafi,unapata hile kitu,unalisha watoto ehh mnaweza eti

madaktari wanawezaje kuajriwa na serikali na kufanya part time kwenye taasisi binafsi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…