Kuacha kazi kwa ajili ya ndoto zako ni ujasiri au ujinga !

Namalizia hii. Taa zimezimwa.
Hapa mnawaona fresh. Sio pisi zangu. Si umeona hata sijashoboka kuwanunulia kinywaji.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijataka mazoea
Kwa hiyo bwashee mpaka ziwe zako ndio unazinunulia vinywaji?πŸ˜€ unavunja kanuni za ulevi bwashee
 
Inategemea na kazi, mtu ni Msajili wa Hazina, aache kazi hiyo aende wapi?
Kuna watu kazi ndio ndoto zao! 😁
Kuna mshikaji wangu mmoja (-), yeye tangu tupo form six alikuwa anasema ndoto yake ni kufanya kazi BoT. Na kweli yupo huko hivi leo, ni kitengo.
 
Hahha kila mtu anashauri acha kazi acha kazi , hospitali ,mashule ma Bank na nk yote yakose wafanyakazi ,tukajazane kariakoo kama nyumbu wa serengeti 😁
 
Hahha kila mtu anashauri acha kazi acha kazi , hospitali ,mashule ma Bank na nk yote yakose wafanyakazi ,tukajazane kariakoo kama nyumbu wa serengeti 😁

Hiyo acha kazi, acha kazi vijana wanaambiana sana siku hizi. 😁
 
hii comment nilikua sijaionaπŸ˜„πŸ˜„,,, hauoni hao hao madaktari wakihamia nje huwa wanawaelekeza wagonjwa kwenye maabara na maduka yao wakapate huduma?
 
hii comment nilikua sijaionaπŸ˜„πŸ˜„,,, hauoni hao hao madaktari wakihamia nje huwa wanawaelekeza wagonjwa kwenye maabara na maduka yao wakapate huduma?
upo sahihi na serikali imeshindwa kudhibiti hiyo, na zile kazi zao za michongo wanazozita kuwasaidia wasichana ambao hawakua tayari kubeba mimba
 
Safi mkuu..ingefaa utuletee uzi namna ulivyo acha kazi..inaweza kuinspire wengi..uliacha kwa barua rasmi ama uliondoka tu
 
Utatoboa tu pambana
 
Inategemea umejipangaje, kama umejipanga vzuri kiakili, kimtaji unapambana_ ila kama haujajipanga vzur utataman kurud ulipotoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…