Anataka amuone kipepeo mitaa ya likoma na agreyButterflies love nature!!
asije kuwa anazungumzia wa pale st.petel au makumbushoAnataka amuone kipepeo mitaa ya likoma na agrey
Mkuu umeuliza swali ambalo nimekuwa nikiuliza sana nyumbaniSina kumbukumbu kabisa mara ya mwisho kuona kipepeo,
watoto wengi sikuhizi wanamjua kwa picha na kumuimba lakini hawajawahi kumuona kwa macho yao
View attachment 3505926
Nafikiri vipo vingi tu Tanzania Safari channelSina kumbukumbu kabisa mara ya mwisho kuona kipepeo,
watoto wengi sikuhizi wanamjua kwa picha na kumuimba lakini hawajawahi kumuona kwa macho yao
View attachment 3505926
Siyo vipepeo tu hata panzi na popo wameadimikaSina kumbukumbu kabisa mara ya mwisho kuona kipepeo,
watoto wengi sikuhizi wanamjua kwa picha na kumuimba lakini hawajawahi kumuona kwa macho yao
View attachment 3505926
Wamepotea wengi tu, na wengi waliopo pia ni endangeredKulikua na wadudu zamani waliitwa balale ng'ombe, wanakaa kwenye michongoma. Hao ndio rasmi wamepotea