secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hata nyuki wako mbioni kutoweka.
Mijini vitu vyote asili vinakufa au kutoweka.Hata nyuki wako mbioni kutoweka.
Zamani kulikuwa na ndege anayeitwa secretarybird (Kitaroharo kwa kiswahili) sikuhizo ameshaadimika sana.Mijini vitu vyote asili vinakufa au kutoweka.
Wewe mzee kavu sana ujue huwa unanichekesha sana..Anataka amuone kipepeo mitaa ya likoma na agrey
Chawa kwenye Ecosystem? Ila sikatai mkuu inawezekana.𝗨𝗸𝘄𝗲𝗹𝗶 𝗵𝗮𝗹𝗶𝘀𝗶
💢 𝗩𝗶𝗽𝗲𝗽𝗲𝗼
💢𝗖𝗵𝗮𝘄𝗮
𝗪𝗮𝗺𝗲𝗮𝗱𝗶𝗺𝗶𝗸𝗮 𝘀𝗮𝗻𝗮 .𝗨𝗺𝘂𝗵𝗶𝗺𝘂 𝘄𝗮𝗼 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗲𝗰𝗼𝘀𝘆𝘀𝘁𝗲𝗺 𝗯𝗮𝗱𝗼 𝘂𝗻𝗮𝗵𝗶𝘁𝗮𝗷𝗶𝗸𝗮
Machawa mbona wapo kibao?𝗨𝗸𝘄𝗲𝗹𝗶 𝗵𝗮𝗹𝗶𝘀𝗶
💢 𝗩𝗶𝗽𝗲𝗽𝗲𝗼
💢𝗖𝗵𝗮𝘄𝗮
𝗪𝗮𝗺𝗲𝗮𝗱𝗶𝗺𝗶𝗸𝗮 𝘀𝗮𝗻𝗮 .𝗨𝗺𝘂𝗵𝗶𝗺𝘂 𝘄𝗮𝗼 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗲𝗰𝗼𝘀𝘆𝘀𝘁𝗲𝗺 𝗯𝗮𝗱𝗼 𝘂𝗻𝗮𝗵𝗶𝘁𝗮𝗷𝗶𝗸𝗮
Sasa mkuu mtu anshinda Kariakoo mitaa ya Likoma na Agrey halafu anataka awaone vipepeoWewe mzee kavu sana ujue huwa unanichekesha sana..
Unakuta mtu anauza miti anakuambia anauza Maua😂Mkuu umeuliza swali ambalo nimekuwa nikiuliza sana nyumbani
Ukweli ni kuwa vipepeo wanapenda mahali pa asili, penye maua ya kuchavusha tena zaidi yanayotunzwa vizuri
Mimi nyumbani kila nikimwagilia maua siku mbili tatu na yakachanua basi wanakuja vipepeo pamoja na ndege (Humming birds) ambaye huwa anachavusha maua
Hao ukiwabamiza kwenye sakafu wanazunguka mizunguko flan Amazing.Kulikua na wadudu zamani waliitwa balale ng'ombe, wanakaa kwenye michongoma. Hao ndio rasmi wamepotea
Kitorondo na Vinega piaZamani kulikuwa na ndege anayeitwa secretarybird (Kitaroharo kwa kiswahili) sikuhizo ameshaadimika sana.
Cc KERATO MOMBAA
Ni viumbe gani hao mkuu?Kitorondo na Vinega pia
🤣🤣Huyu ni nzi tosha View attachment 3512917
NdegeNi viumbe gani hao mkuu?
Kwa kweli tuanakoelekea binadamu pekee ndio watabaki duniani na Dunia itakuwa chungu.Ndege
Kweli mkuu, ni kama ulikuwa akilini mwangu. Huwa pia najiuliza vipepeo waliendaga wapi? Nakumbuka nilipokuwa mdogo walikuwa wengi sana. Tulikuwaga tunatengeneza mfano wa kipepeo cha karatasi nyeupe, tunafunga kamba tunaanza kuzunguka na kukimbia nacho, vipepeo wengi sana,walikuwa wanatufata kwa nyuma.Sina kumbukumbu kabisa mara ya mwisho kuona kipepeo,
watoto wengi sikuhizi wanamjua kwa picha na kumuimba lakini hawajawahi kumuona kwa macho yao
View attachment 3505926
Ndyo maana serengeti inaendelea kuwa juu..hvo vitu vyote unavyovikosa utavipata serengeti, kuhusu vipepeo utavipata bustani ya maua "KITULA"Zamani kulikuwa na ndege anayeitwa secretarybird (Kitaroharo kwa kiswahili) sikuhizo ameshaadimika sana.
Cc KERATO MOMBAA