Kuadimika kwa Vipepeo, Mara ya mwisho kuona kipepeo lini ?

Sina kumbukumbu kabisa mara ya mwisho kuona kipepeo,

watoto wengi sikuhizi wanamjua kwa picha na kumuimba lakini hawajawahi kumuona kwa macho yao

View attachment 3505926
Mkuu umeuliza swali ambalo nimekuwa nikiuliza sana nyumbani

Ukweli ni kuwa vipepeo wanapenda mahali pa asili, penye maua ya kuchavusha tena zaidi yanayotunzwa vizuri

Mimi nyumbani kila nikimwagilia maua siku mbili tatu na yakachanua basi wanakuja vipepeo pamoja na ndege (Humming birds) ambaye huwa anachavusha maua
 

Attachments

  • Hummingbirds-2-scaled.jpg
    457 KB · Views: 32
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…