Uchaguzi 2020 Kuamini kwamba Lissu alisafiri angani kutumia helikopta bila kibali cha TCAA ni kujidanganya sana!

Wapiga kura wa Tanzania kesho wamalizia kabisa suala la uchaguzi kwa kishindo kikubwa.

Tundu Lissu amejitahidi sana kuchangamsha uchaguzi wa mwaka huu.

CCM itashinda kwa kishindo kikubwa.

Chadema wanafahamu hilo.
"CCM itashinda kwa kishindo" lakini bado inaongopa Twitter Tanzanian Community!!

Ndo maana mwanzoni kabisa mwa utawala wake niliwahi kusema mara kadhaa kwamba Tanzania haijawahi kuwa na kiongozi dhaifu kama kumzidi JPM!

JPM hana ubavu wa ku-face wanaompinga head-on na ndio maana always amekuwa ni mtu wa kufanya ambush!!!

Kwa kujua Upinzani watapata fursa ya kuelezea ubovu wa utawala wake, akapiga marufuku mikutano ya hadhara!!

Kwa kujua Ben Saanane ataendelea kumuumbua, kilichofuata ni kutimia miaka 4 sasa bila kufahamika kwa Saanane's whereabouts!!

Kwa kujua TL alikuwa amemkalia kooni, kilichofuata ni jaribio la kutaka kumuua!!!

Kwa kujua Azory Gwanda ange-expose what's really going on in MKIRU; kilichofuata dhidi yake ni kumnyamazisha!!!

Kwa kujua Twitter ingetumika sana kupashana habari za uchaguzi, alichofanya ni kuipiga pin!!!

Magufuli is weak, and he has no gut to face his opponents head-on!

Na anafanya yote hayo kwa sababu anafahamu bila udhalimu wa aina hiyo Magufuli hawezi kushinda! Hawezi kushinda bila matumizi mabaya ya vyombo vya dola na taasisi za serikali!!
 
Lissu ndiye Mtanzania mwongo zaidi kwa sasa
Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi.

Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe.

Inajulikana hakuna mahali duniani unaweza kurusha helikopta au ndege angani bila kibali toka mamlaka ya anga ya nchi husika.
Rubani angerusha ndege kibabe hivyo ingemgharimu yeye binafsi na mmiliki wa helikopta.
Madhara ya uongo huu ni makubwa kuliko faida.

Mosi: CHADEMA na LISSU mtaonekana au mnaelekea kuhamasisha watu kutotii au kufuata sheria kama mnavyotaka MAGUFULI afanye. Mkichukua dola mtatawala nchi yenye vurugu za kutotii Sheria maana watu watamuiga kiongozi wao kupinga kila taratibu zilizopo kisheria au kikanuni.

Pili: Kwa watu ambao waelewa na waliwaamini watakosa imani nanyi siku zijazo.

Watu wenye kutafakari tunajiuliza hivi kweli LISSU yupo kujenga Tanzania au ana Jambo lake binafsi kiasi Cha kutumia njia hii ya uongo wa kitoto? Anamkosoa Magufuli kwa uongo huku nayeye akisema uongo?

CC: joka kuu
 
Mkuu unaambiwa huko msoma kuna mwenyekiti kauwa watu wawili na bado yuko mtaani raha mstarehe. Huko iramba kwa mwighuru kuna MTU katekwa na kuumizwa vibaya na mwigulu hakuna hatua zozote juu yake. Visa ni vingi. Kama taifa tujitafakari.

Sishabikii ya chadema maana wanawajibu wa kutii sheria. ila nasema kama taifa tunapoteza mwelekeo kiujumla .
Mkuu Mimi nimevunjika moyo taarifa za yaliyotokea tarime ,kama taifa tumepotea sana.Hakuna tena hofu ya mungu!
 
Rubani hawezi kutii amri ya Tundu,usijitoe ufahamu.Kuna adhabu ikiwemo faini na kunyang'anywa leseni
..what if rubani na wenye helikopta walikuwa tayari kubeba mzigo wa lawama na gharama za kuvunja sheria?

..hapa inabidi tumpate mtu wa tatu ambaye hana maslahi na tcaa na Tundu Lissu aeleze kilichotokea.

..kitu cha msingi ni Tundu Lissu alifika kwenye mkutano na akafunga kampeni zetu.
 
Hivi Mama ni "Wazazi" wako au "Mzazi" wako?? Halafu tofautisha kumtukana na kumtaja. Manake unaandika andika tu hujui hata unaandika nini?
Sawa.
Nashukuru kwa maoni yako.
 
Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi.

Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe.

Inajulikana hakuna mahali duniani unaweza kurusha helikopta au ndege angani bila kibali toka mamlaka ya anga ya nchi husika.
Rubani angerusha ndege kibabe hivyo ingemgharimu yeye binafsi na mmiliki wa helikopta.
Madhara ya uongo huu ni makubwa kuliko faida.

Mosi: CHADEMA na LISSU mtaonekana au mnaelekea kuhamasisha watu kutotii au kufuata sheria kama mnavyotaka MAGUFULI afanye. Mkichukua dola mtatawala nchi yenye vurugu za kutotii Sheria maana watu watamuiga kiongozi wao kupinga kila taratibu zilizopo kisheria au kikanuni.

Pili: Kwa watu ambao waelewa na waliwaamini watakosa imani nanyi siku zijazo.

Watu wenye kutafakari tunajiuliza hivi kweli LISSU yupo kujenga Tanzania au ana Jambo lake binafsi kiasi Cha kutumia njia hii ya uongo wa kitoto? Anamkosoa Magufuli kwa uongo huku nayeye akisema uongo?

CC: joka kuu
Bro imani huja kwa kusikia, sio kuona. Tuoneshe ili tusiamini.
 
Jina lako kwa kikwetu ni puru
 
Lissu hajawahi kusema ukweli ata siku moja 99% ya ahadi zake hazitekelezeki. Thanks god kesho ndio mwisho wa porojo zake.
Magufuli ndiye msema kweli:
(1) Aliahidi 50 million kila kijiji, katekeleza.
(2) Aliahidi Laptop kwa kila Mwalimu, katekeleza.
(3) Aliahidi Noah kwa kila Mtanzania, katekeleza.
(4) Aliahidi kuwafunga mafisadi ktk mahakama ya mafisadi, katekeleza.
==================================
Shetani hana rafiki.
Lissu atosha, Magufuli akapumzike kwao chato.
 
Mosi: CHADEMA na LISSU mtaonekana au mnaelekea kuhamasisha watu kutotii au kufuata sheria kama mnavyotaka MAGUFULI afanye. Mkichukua dola mtatawala nchi yenye vurugu za kutotii Sheria maana watu watamuiga kiongozi wao kupinga kila taratibu zilizopo kisheria au kikanuni.
Rubbish zako, Jiwe ametawala nchi bila kufuata Katiba, sheria, miongozo, taratibu and all filths you can think of kwa miaka 5, ! Leo unaikomalia CDM! Unjust laws should not be obeyed whatsoever!

"If a law is unjust, a man is not only right to disobey it, he is obligated to do so."
 
Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi.

Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe.

Inajulikana hakuna mahali duniani unaweza kurusha helikopta au ndege angani bila kibali toka mamlaka ya anga ya nchi husika.
Rubani angerusha ndege kibabe hivyo ingemgharimu yeye binafsi na mmiliki wa helikopta.
Madhara ya uongo huu ni makubwa kuliko faida.

Mosi: CHADEMA na LISSU mtaonekana au mnaelekea kuhamasisha watu kutotii au kufuata sheria kama mnavyotaka MAGUFULI afanye. Mkichukua dola mtatawala nchi yenye vurugu za kutotii Sheria maana watu watamuiga kiongozi wao kupinga kila taratibu zilizopo kisheria au kikanuni.

Pili: Kwa watu ambao waelewa na waliwaamini watakosa imani nanyi siku zijazo.

Watu wenye kutafakari tunajiuliza hivi kweli LISSU yupo kujenga Tanzania au ana Jambo lake binafsi kiasi Cha kutumia njia hii ya uongo wa kitoto? Anamkosoa Magufuli kwa uongo huku nayeye akisema uongo?

CC: joka kuu
Sasa ukweli wako ni upi ndugu mtoa post?
 
Achana na Lissu, amekubuhu kwenye uongo. Hakuna Rubani anaweza kudiriki kupaa angani bila kibali cha mamlaka husika. Hajui ndege zikiwa angani zinapewa control kutokea chini. Siyo suala tu la kibali bali pia kuendeshwa. Ni mwongo sana Lissu
Okay ww ulikuwepo ground control tupe ukweli tukio lilikuwaje?
Maana sijaona mamlaka husika ziki deny hii issue.
 
Lissu ni muongo na mzushi

Twendeni tukamsulubu huyu msaliti wa Nchi
 
Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi.

Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe.

Inajulikana hakuna mahali duniani unaweza kurusha helikopta au ndege angani bila kibali toka mamlaka ya anga ya nchi husika.
Rubani angerusha ndege kibabe hivyo ingemgharimu yeye binafsi na mmiliki wa helikopta.
Madhara ya uongo huu ni makubwa kuliko faida.

Mosi: CHADEMA na LISSU mtaonekana au mnaelekea kuhamasisha watu kutotii au kufuata sheria kama mnavyotaka MAGUFULI afanye. Mkichukua dola mtatawala nchi yenye vurugu za kutotii Sheria maana watu watamuiga kiongozi wao kupinga kila taratibu zilizopo kisheria au kikanuni.

Pili: Kwa watu ambao waelewa na waliwaamini watakosa imani nanyi siku zijazo.

Watu wenye kutafakari tunajiuliza hivi kweli LISSU yupo kujenga Tanzania au ana Jambo lake binafsi kiasi Cha kutumia njia hii ya uongo wa kitoto? Anamkosoa Magufuli kwa uongo huku nayeye akisema uongo?

CC: joka kuu
Punguza usenge basi
 
Lissu hajawahi kusema ukweli ata siku moja 99% ya ahadi zake hazitekelezeki. Thanks god kesho ndio mwisho wa porojo zake.
Lisu fala sana ila namshukuru aliloahidi na kutekeleza ni moja tu, milioni 50 kila kijiji.
 
Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi.

Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe.

Inajulikana hakuna mahali duniani unaweza kurusha helikopta au ndege angani bila kibali toka mamlaka ya anga ya nchi husika.
Rubani angerusha ndege kibabe hivyo ingemgharimu yeye binafsi na mmiliki wa helikopta.
Madhara ya uongo huu ni makubwa kuliko faida.

Mosi: CHADEMA na LISSU mtaonekana au mnaelekea kuhamasisha watu kutotii au kufuata sheria kama mnavyotaka MAGUFULI afanye. Mkichukua dola mtatawala nchi yenye vurugu za kutotii Sheria maana watu watamuiga kiongozi wao kupinga kila taratibu zilizopo kisheria au kikanuni.

Pili: Kwa watu ambao waelewa na waliwaamini watakosa imani nanyi siku zijazo.

Watu wenye kutafakari tunajiuliza hivi kweli LISSU yupo kujenga Tanzania au ana Jambo lake binafsi kiasi Cha kutumia njia hii ya uongo wa kitoto? Anamkosoa Magufuli kwa uongo huku nayeye akisema uongo?

CC: joka kuu
Hebu tuwekee hicho kibali walichompatia hao TAA?
 
Back
Top Bottom