Uchaguzi 2020 Kuamini kwamba Lissu alisafiri angani kutumia helikopta bila kibali cha TCAA ni kujidanganya sana!

Sasa kama walinyima kibali unafikiri wananchi wa Kawe na Dar wangekubali kuondoka uwanjani bila Rais kufika? Safi sana Lissu....wewe ni kidume uliyewaweza hawa mbwa koko
 
Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi.

Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe.

Inajulikana hakuna mahali duniani unaweza kurusha helikopta au ndege angani bila kibali toka mamlaka ya anga ya nchi husika.
Rubani angerusha ndege kibabe hivyo ingemgharimu yeye binafsi na mmiliki wa helikopta.
Madhara ya uongo huu ni makubwa kuliko faida.

Mosi: CHADEMA na LISSU mtaonekana au mnaelekea kuhamasisha watu kutotii au kufuata sheria kama mnavyotaka MAGUFULI afanye. Mkichukua dola mtatawala nchi yenye vurugu za kutotii Sheria maana watu watamuiga kiongozi wao kupinga kila taratibu zilizopo kisheria au kikanuni.

Pili: Kwa watu ambao waelewa na waliwaamini watakosa imani nanyi siku zijazo.

Watu wenye kutafakari tunajiuliza hivi kweli LISSU yupo kujenga Tanzania au ana Jambo lake binafsi kiasi Cha kutumia njia hii ya uongo wa kitoto? Anamkosoa Magufuli kwa uongo huku nayeye akisema uongo?

CC: joka kuu
Mkuu umemaliza kila kitu0 NJIA YA MUONGO
 
..what if rubani na wenye helikopta walikuwa tayari kubeba mzigo wa lawama na gharama za kuvunja sheria?

..hapa inabidi tumpate mtu wa tatu ambaye hana maslahi na tcaa na Tundu Lissu aeleze kilichotokea.

..kitu cha msingi ni Tundu Lissu alifika kwenye mkutano na akafunga kampeni zetu.
Lete huyo mtu sasa wewe si ndo unamjua?
 
Huyo Nyerere alizoea kuishi kwa uongo.
Kauli nyingine ya LISSU ambayo imenifanya ni unafiki wake na uongo.

Siku ile ameenda Butiama alisahau ameenda kwa muongo aliyeishi kwa kutegemea vya kunyonga Kama alivyo mtangaza hivyo bungeni?
 
Mbona hukuandika hayo kabla?!

Au umeandika kwa kuongozwa na that piece of printed masturbation iliyokuwa released na TCAA?!
Mkuu nawewe una amini rubani wa hiyo helicopter na mmiliki wa ndege wanaweza kufanya kosa kubwa namna ambalo ni kisa la kuvunja Sheria na utaratibu wa kimataifa?

Hiyo ni Sheria inayolazimishwa na ICAO siyo TCAA pekee. Rubani angerusha na kupata ajali kampuni yake ingefilisika na yeye angefungwa.
Angepokonywa leseni yake n.k.
 
Kwamba kuzuia kuruka kwa sababu za kihunihuni si kosa si ndiyo.
 
Mkuu nawewe una amini rubani wa hiyo helicopter na mmiliki wa ndege wanaweza kufanya kosa kubwa namna ambalo ni kisa la kuvunja Sheria na utaratibu wa kimataifa?

Hiyo ni Sheria inayolazimishwa na ICAO siyo TCAA pekee. Rubani angerusha na kupata ajali kampuni yake ingefilisika na yeye angefungwa.
Angepokonywa leseni yake n.k.
Rejea kifo cha kobe, rubani alitahadharishwa na mbona aliruka? Sheria zimewekwa lakini watu hawazifati na maisha yanaendelea.
 
Wapiga kura wa Tanzania kesho wamalizia kabisa suala la uchaguzi kwa kishindo kikubwa.

Tundu Lissu amejitahidi sana kuchangamsha uchaguzi wa mwaka huu.

CCM itashinda kwa kishindo kikubwa.

Chadema wanafahamu hilo.
Napenda sana Magu ashinde tu
 
Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi.

Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe.

Inajulikana hakuna mahali duniani unaweza kurusha helikopta au ndege angani bila kibali toka mamlaka ya anga ya nchi husika.
Rubani angerusha ndege kibabe hivyo ingemgharimu yeye binafsi na mmiliki wa helikopta.
Madhara ya uongo huu ni makubwa kuliko faida.

Mosi: CHADEMA na LISSU mtaonekana au mnaelekea kuhamasisha watu kutotii au kufuata sheria kama mnavyotaka MAGUFULI afanye. Mkichukua dola mtatawala nchi yenye vurugu za kutotii Sheria maana watu watamuiga kiongozi wao kupinga kila taratibu zilizopo kisheria au kikanuni.

Pili: Kwa watu ambao waelewa na waliwaamini watakosa imani nanyi siku zijazo.

Watu wenye kutafakari tunajiuliza hivi kweli LISSU yupo kujenga Tanzania au ana Jambo lake binafsi kiasi Cha kutumia njia hii ya uongo wa kitoto? Anamkosoa Magufuli kwa uongo huku nayeye akisema uongo?

CC: joka kuu
Mkuu unashangaa nini,kazi ya wanasiasa mara nyingine ni misinformation hasa wakijua wanawalenga watu sampuli gani.
Hizo zilikuwa propaganda dhahifu.
Kwa akili ya kawaida huwezi kuthubutu kuruka bila idhini ya air traffic controller.
Lakini jambo la pili ni rubani wa Chopper ndio mwenye dhamana ya kurusha ndege hiyo na si Lissu, kwani Lissu si rubani alikuwa abiria tu.
Lakini hata kama rubani angekaidi amri ya Aircraft controller akaruka angefuatwa na ndege za kijeshi jet fighter wangemlazimisha kutua na kama angekataa kutii amri angetunguliwa na makombora ya jet fighters hizo.
 
Mkuu nawewe una amini rubani wa hiyo helicopter na mmiliki wa ndege wanaweza kufanya kosa kubwa namna ambalo ni kisa la kuvunja Sheria na utaratibu wa kimataifa?

Hiyo ni Sheria inayolazimishwa na ICAO siyo TCAA pekee. Rubani angerusha na kupata ajali kampuni yake ingefilisika na yeye angefungwa.
Angepokonywa leseni yake n.k.
Mbona kitu rahisi tu? CHADEMA wamesema in public kibali hakikutolewa. TCAA na wenyewe in public wakitoe hicho kibali mchezo kwisha. Unachozungumza ni nadharia tu. Chopper haikupata ajali sasa.
 
Waongo wale . Waliomba kibali cha mabadiliko saa 3 ili wapae saa nne.
Ile chopa ilikua na kibali cha kurudi kwao Nairobi.
Pamoja na hayo ruhusa ilitolewa ila waliamua kudanganya umma kwa maslahi yao tu.
 
Back
Top Bottom