Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umemaliza kila kitu0 NJIA YA MUONGOViongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi.
Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe.
Inajulikana hakuna mahali duniani unaweza kurusha helikopta au ndege angani bila kibali toka mamlaka ya anga ya nchi husika.
Rubani angerusha ndege kibabe hivyo ingemgharimu yeye binafsi na mmiliki wa helikopta.
Madhara ya uongo huu ni makubwa kuliko faida.
Mosi: CHADEMA na LISSU mtaonekana au mnaelekea kuhamasisha watu kutotii au kufuata sheria kama mnavyotaka MAGUFULI afanye. Mkichukua dola mtatawala nchi yenye vurugu za kutotii Sheria maana watu watamuiga kiongozi wao kupinga kila taratibu zilizopo kisheria au kikanuni.
Pili: Kwa watu ambao waelewa na waliwaamini watakosa imani nanyi siku zijazo.
Watu wenye kutafakari tunajiuliza hivi kweli LISSU yupo kujenga Tanzania au ana Jambo lake binafsi kiasi Cha kutumia njia hii ya uongo wa kitoto? Anamkosoa Magufuli kwa uongo huku nayeye akisema uongo?
CC: joka kuu
Lete huyo mtu sasa wewe si ndo unamjua?..what if rubani na wenye helikopta walikuwa tayari kubeba mzigo wa lawama na gharama za kuvunja sheria?
..hapa inabidi tumpate mtu wa tatu ambaye hana maslahi na tcaa na Tundu Lissu aeleze kilichotokea.
..kitu cha msingi ni Tundu Lissu alifika kwenye mkutano na akafunga kampeni zetu.
Kauli nyingine ya LISSU ambayo imenifanya ni unafiki wake na uongo.Huyo Nyerere alizoea kuishi kwa uongo.
Wanaweza kukiweka hapa chenye tarehe za jana ingawa haiwaondolei uhuni, wale wahuni tu.TCAA waweke kibali hapa mjadala kwisha.
Mkuu nawewe una amini rubani wa hiyo helicopter na mmiliki wa ndege wanaweza kufanya kosa kubwa namna ambalo ni kisa la kuvunja Sheria na utaratibu wa kimataifa?Mbona hukuandika hayo kabla?!
Au umeandika kwa kuongozwa na that piece of printed masturbation iliyokuwa released na TCAA?!
Binafsi sioni tatizo la siasa, shida ipo kwenye kutokustaarabika kwetu tu basi.
Kwamba kuzuia kuruka kwa sababu za kihunihuni si kosa si ndiyo.Mkuu nawewe una amini rubani wa hiyo helicopter na mmiliki wa ndege wanaweza kufanya kosa kubwa namna ambalo ni kisa la kuvunja Sheria na utaratibu wa kimataifa?
Hiyo ni Sheria inayolazimishwa na ICAO siyo TCAA pekee. Rubani angerusha na kupata ajali kampuni yake ingefilisika na yeye angefungwa.
Angepokonywa leseni yake n.k.
Hapana ni hilo tuSawa nimepokea maoni yako.
Una lingine mkuu?
Rejea kifo cha kobe, rubani alitahadharishwa na mbona aliruka? Sheria zimewekwa lakini watu hawazifati na maisha yanaendelea.Mkuu nawewe una amini rubani wa hiyo helicopter na mmiliki wa ndege wanaweza kufanya kosa kubwa namna ambalo ni kisa la kuvunja Sheria na utaratibu wa kimataifa?
Hiyo ni Sheria inayolazimishwa na ICAO siyo TCAA pekee. Rubani angerusha na kupata ajali kampuni yake ingefilisika na yeye angefungwa.
Angepokonywa leseni yake n.k.
Napenda sana Magu ashinde tuWapiga kura wa Tanzania kesho wamalizia kabisa suala la uchaguzi kwa kishindo kikubwa.
Tundu Lissu amejitahidi sana kuchangamsha uchaguzi wa mwaka huu.
CCM itashinda kwa kishindo kikubwa.
Chadema wanafahamu hilo.
Mkuu unashangaa nini,kazi ya wanasiasa mara nyingine ni misinformation hasa wakijua wanawalenga watu sampuli gani.Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi.
Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe.
Inajulikana hakuna mahali duniani unaweza kurusha helikopta au ndege angani bila kibali toka mamlaka ya anga ya nchi husika.
Rubani angerusha ndege kibabe hivyo ingemgharimu yeye binafsi na mmiliki wa helikopta.
Madhara ya uongo huu ni makubwa kuliko faida.
Mosi: CHADEMA na LISSU mtaonekana au mnaelekea kuhamasisha watu kutotii au kufuata sheria kama mnavyotaka MAGUFULI afanye. Mkichukua dola mtatawala nchi yenye vurugu za kutotii Sheria maana watu watamuiga kiongozi wao kupinga kila taratibu zilizopo kisheria au kikanuni.
Pili: Kwa watu ambao waelewa na waliwaamini watakosa imani nanyi siku zijazo.
Watu wenye kutafakari tunajiuliza hivi kweli LISSU yupo kujenga Tanzania au ana Jambo lake binafsi kiasi Cha kutumia njia hii ya uongo wa kitoto? Anamkosoa Magufuli kwa uongo huku nayeye akisema uongo?
CC: joka kuu
Mbona kitu rahisi tu? CHADEMA wamesema in public kibali hakikutolewa. TCAA na wenyewe in public wakitoe hicho kibali mchezo kwisha. Unachozungumza ni nadharia tu. Chopper haikupata ajali sasa.Mkuu nawewe una amini rubani wa hiyo helicopter na mmiliki wa ndege wanaweza kufanya kosa kubwa namna ambalo ni kisa la kuvunja Sheria na utaratibu wa kimataifa?
Hiyo ni Sheria inayolazimishwa na ICAO siyo TCAA pekee. Rubani angerusha na kupata ajali kampuni yake ingefilisika na yeye angefungwa.
Angepokonywa leseni yake n.k.
Waonyeshe proof of delivery kama wanaweza ku back date.Wanaweza kukiweka hapa chenye tarehe za jana ingawa haiwaondolei uhuni, wale wahuni tu.
Mbona kitu rahisi tu? CHADEMA wamesema in public kibali hakikutolewa. TCAA na wenyewe in public wakitoe hicho kibali mchezo kwisha. Unachozungumza ni nadharia tu. Chopper haikupata ajali sasa.