Uchaguzi 2020 Kuamini kwamba Lissu alisafiri angani kutumia helikopta bila kibali cha TCAA ni kujidanganya sana!

Ficha ujinga wako Haki huinua Taifa unasali nini kama unashabikia ushetwain?
 
Lissu ni muongo na mzushi

Twendeni tukamsulubu huyu msaliti wa Nchi
Keshasulubiwa vijana waliokuwa wakifurika mikutano yake hawako vituo vya kupigia kura

Wamefurika watu wazima tu
 
Wewe ni rubani?
 
Tatizo hawajui kama wanapigana na nguvu ya Mungu ipitayo nguvu za miungu yote . Viva Lissu
 
Mkuu hayo matapeli ya kisiasa achana nayo,

Tufocus kwenye kulijenga Taifa letu.
 
Hawawezi kukuelewa hawa kende wamadoadoa mekundu na blue.
 
Huo ni uongo, hivi unawajua wakuria wewe?? Yani mtu amuue raia kwenye kadamnasi kisha waendelee kumpetipeti?.
 
Mkuu hii ilianzia Musoma (alipandisha gari kwenye feri yeye akatunga uongo akaenda na mtumbwi baadaye feri ilipofika akachukua gari), ikaja Moshi (akakaidi muda na kuwakejeli polisi) then Kilimanjaro (kadanganya kuruka bila kibali), kule ilikuwa sijui kusini (alitua kufanya kampeni bila kibali huku akiwabeza polisi na nec) etc. Nadhani lengo lake ni kuvunja sheria ili kuwaandaa watu wafanye fujo. Uzuri TZ inaongozwa na watu wenye akili sana tena sana.
 
Alisema walimu wataishi kama mapadri, yani kwenye friji fulu mazagazaga

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Ama tcra wameweza kuzima mitandao, basi tarajieni akipita magufuli, ndani ya miaka mitano kila jambo ambalo haramu ambalo CCM wanaenda kulipitisha, mf kuingeza ukomo wa rais, basi watazima. Ushakuwa utamaduni wao

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
TCAA waweke kibali hapa mjadala kwisha.
 
 

CCM oyeeee. Naleta utaratibu unavyotakiwa. Lisu ametudanganya na hatudanganyiki.
 



 




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…