Uchaguzi 2020 Kuamini kwamba Lissu alisafiri angani kutumia helikopta bila kibali cha TCAA ni kujidanganya sana!

Achana na Lissu, amekubuhu kwenye uongo. Hakuna Rubani anaweza kudiriki kupaa angani bila kibali cha mamlaka husika. Hajui ndege zikiwa angani zinapewa control kutokea chini. Siyo suala tu la kibali bali pia kuendeshwa. Ni mwongo sana Lissu
Siyo helicopter ni hizo zingine
 
Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi.

Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe.

Inajulikana hakuna mahali duniani unaweza kurusha helikopta au ndege angani bila kibali toka mamlaka ya anga ya nchi husika.
Rubani angerusha ndege kibabe hivyo ingemgharimu yeye binafsi na mmiliki wa helikopta.
Madhara ya uongo huu ni makubwa kuliko faida.

Mosi: CHADEMA na LISSU mtaonekana au mnaelekea kuhamasisha watu kutotii au kufuata sheria kama mnavyotaka MAGUFULI afanye. Mkichukua dola mtatawala nchi yenye vurugu za kutotii Sheria maana watu watamuiga kiongozi wao kupinga kila taratibu zilizopo kisheria au kikanuni.

Pili: Kwa watu ambao waelewa na waliwaamini watakosa imani nanyi siku zijazo.

Watu wenye kutafakari tunajiuliza hivi kweli LISSU yupo kujenga Tanzania au ana Jambo lake binafsi kiasi Cha kutumia njia hii ya uongo wa kitoto? Anamkosoa Magufuli kwa uongo huku nayeye akisema uongo?

CC: joka kuu

Kiki za dakika ya majeruhi
 
Imeishaa hiyooo .kapige kura sasa
 
Ku-file correct FLIGHT PLAN ni takwa la kisheria za anga duniani kote na siyo mipango ovu ya kihuni.
Ni recommended and standard procedure kwenye aviation.
Kwamba kuzuia kuruka kwa sababu za kihunihuni si kosa si ndiyo.
 
Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi.

Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe.

Inajulikana hakuna mahali duniani unaweza kurusha helikopta au ndege angani bila kibali toka mamlaka ya anga ya nchi husika.
Rubani angerusha ndege kibabe hivyo ingemgharimu yeye binafsi na mmiliki wa helikopta.
Madhara ya uongo huu ni makubwa kuliko faida.

Mosi: CHADEMA na LISSU mtaonekana au mnaelekea kuhamasisha watu kutotii au kufuata sheria kama mnavyotaka MAGUFULI afanye. Mkichukua dola mtatawala nchi yenye vurugu za kutotii Sheria maana watu watamuiga kiongozi wao kupinga kila taratibu zilizopo kisheria au kikanuni.

Pili: Kwa watu ambao waelewa na waliwaamini watakosa imani nanyi siku zijazo.

Watu wenye kutafakari tunajiuliza hivi kweli LISSU yupo kujenga Tanzania au ana Jambo lake binafsi kiasi Cha kutumia njia hii ya uongo wa kitoto? Anamkosoa Magufuli kwa uongo huku nayeye akisema uongo?

CC: joka kuu

Una suggest watu wakubali kila amri ya serikali?

Ushawahi kukutana na jambo linaitwa "civil disobedience" ?

Ushamsoma Mohandas "Mahatma" Gandhi na Dr. Martin Luther King Jr. ?
 
Rejea kifo cha kobe, rubani alitahadharishwa na mbona aliruka? Sheria zimewekwa lakini watu hawazifati na maisha yanaendelea.
Umesema alitahadharishwa, hiyo haimaanishi hakutengeneza Flight Plan sahihi kwa Safari husika na haimaanishi hakupewa clearance (ruhusa) na Airtraffic controller wa FAA (Mamlaka ya usafiri wa Anga ya Marekani).

Hate hivyo umeona madhara ya kupuuzia recommendation ya wataalam wa anga ni ajali na kupoteza maisha na mali.
 
Kwa mazingira yakwetu utaalam unafata baada ya siasa mzee, lisu alinyimwa kivuko mara mbili anaambiwa kibovu na watendaji wa serikali na ukweli hakikuwa kibovu bali siasa ilichukua nafasi,
 
Una suggest watu wakubali kila amri ya serikali?

Ushawahi kukutana na jambo linaitwa "civil disobedience" ?

Ushamsoma Mohandas "Mahatma" Gandhi na Dr. Martin Luther King Jr. ?
Hapana sishauri watu wakubali kila amri ya serikali ila nashauri wakubali kutii Sheria na kanuni au taratibu za msingi.

Huo ndio utawala wa Sheria anaopigia kelele LISSU mwenyewe.

Linapohusu suala la usalama wako na wa wengine wanaotumia anga au huduma yeyote unapaswa kuheshimu taratibu salama zilizowekwa kisheria.

Uzuri ni kwamba rubani wa ile helikopta alitii Sheria na kupewa clearance.

Lile siyo takwa la CCM au GoT bali la mamlaka ya anga ya kimataifa (ICAO) kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa usafiri wa anga.
 
Kama Lissu angepewa amri iliyoonekana wazi kuwa ya kisiasa, na angeikaidi, ungeona yuko sawa?
 
Kama hadi leo trillion 1.5 hazieleweki zilikokwenda na hakuna maelezo ya kueleweka kwa wanaoitwa wanyonge unadhani watashindwa kumnyima mtu kibali cha kupaa?
 
Hapana sishauri watu wakubali kila amri ya serikali ila nashauri wakubali kutii Sheria na kanuni au taratibu za msingi.

Huo ndio utawala wa Sheria anaopigia kelele LISSU mwenyewe.

Linapohusu suala la usalama wako na wa wengine wanaotumia anga au huduma yeyote unapaswa kuheshimu taratibu salama zilizowekwa kisheria.

Uzuri ni kwamba rubani wa ile helikopta alitii Sheria na kupewa clearance.

Lile siyo takwa la CCM au GoT bali la mamlaka ya anga ya kimataifa (ICAO) kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa usafiri wa anga.
Hivi mtu kapigwa risasi 16 aogope nini tena?
 
Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi.

Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe.

Inajulikana hakuna mahali duniani unaweza kurusha helikopta au ndege angani bila kibali toka mamlaka ya anga ya nchi husika.
Rubani angerusha ndege kibabe hivyo ingemgharimu yeye binafsi na mmiliki wa helikopta.
Madhara ya uongo huu ni makubwa kuliko faida.

Mosi: CHADEMA na LISSU mtaonekana au mnaelekea kuhamasisha watu kutotii au kufuata sheria kama mnavyotaka MAGUFULI afanye. Mkichukua dola mtatawala nchi yenye vurugu za kutotii Sheria maana watu watamuiga kiongozi wao kupinga kila taratibu zilizopo kisheria au kikanuni.

Pili: Kwa watu ambao waelewa na waliwaamini watakosa imani nanyi siku zijazo.

Watu wenye kutafakari tunajiuliza hivi kweli LISSU yupo kujenga Tanzania au ana Jambo lake binafsi kiasi Cha kutumia njia hii ya uongo wa kitoto? Anamkosoa Magufuli kwa uongo huku nayeye akisema uongo?

CC: joka kuu
Hebu tueleze mkuu 'Tit' hivi kule Ukerewe Lissu hakunyimwa kivuko? Hiyo ilikuwa ni sheria gani inatumika hapo! Kwa yeye kuvuka kwa mtumbwi bila shaka nayo utasema alivunja sheria au sio?

Hivi unajua maana ya maneno kuvunja sheria? Ni nani anapashwa kulinda na kuhakikisha sheria hazipindishwi kwa jambo lolote lile?

Je, mamlaka nzima ya kiserikali inapokiuka taratibu na kanuni na kuamua kufanya kivyao, bado utategemea watu baki watii hizo kanuni na sheria?

Lakini mbali ya yote hayo: wewe hujui nchi hii inatumia sheria anazohimiza mtu mmoja kwa manufaa yake?

Titi, hapa hukutumia akili katika kuwasilisha mada yako hii. Kuna msukumo uliokupofusha kuona kiini cha tatizo ni nini. Ndiyo maana umerukia kulaumu upande unaoonewa.
 
Hapana mkuu.
Ndiyo maana sikuzungumzia hizo zingine alizokaidi.
Unaji contradict kwenye hoja yako ya kuwashutumu CHADEMA kuhamasisha watu kutotii sheria.

Ukikubali sehemu halali ya civil disobedience, then CHADEMA si tu wana haki, bali wana wajibu wa kuhamasisha wananchi kutotii sheria dhalimu.

Ukiwashutumu CHADEMA kwa kuhamasisha wananchi kutotii sheria, bila qualification, then hukubali sehemu halali ya civil disobedience katika demokrasia.

You can't have it both ways.
 
Hebu tueleze mkuu 'Tit' hivi kule Ukerewe Lissu hakunyimwa kivuko? Hiyo ilikuwa ni sheria gani inatumika hapo! Kwa yeye kuvuka kwa mtumbwi bila shaka nayo utasema alivunja sheria au sio?

Hivi unajua maana ya maneno kuvunja sheria? Ni nani anapashwa kulinda na kuhakikisha sheria hazipindishwi kwa jambo lolote lile?

Je, mamlaka nzima ya kiserikali inapokiuka taratibu na kanuni na kuamua kufanya kivyao, bado utategemea watu baki watii hizo kanuni na sheria?

Lakini mbali ya yote hayo: wewe hujui nchi hii inatumia sheria anazohimiza mtu mmoja kwa manufaa yake?

Titi, hapa hukutumia akili katika kuwasilisha mada yako hii. Kuna msukumo uliokupofusha kuona kiini cha tatizo ni nini. Ndiyo maana umerukia kulaumu upande unaoonewa.
Naheshimu mawazo yako.
Nafikiri tuna mtazamo tofauti ktk hili ngoja tukubali kutofautiana.
Hata hivyo Kuna hoja kuu mbili kwenye mada yangu.

Mmoja ni kusema uongo, na ya pili ni kuwa waangalifu tusichochee na kujenga tabia mpya ya kutoheshimu taratibu, sheria na kanuni halali hasa kama zinahusu kukwepa kuhatarisha maisha ya watu wengine.
 
kujenga tabia mpya ya kutoheshimu taratibu, sheria na kanuni halali hasa kama zinahusu kukwepa kuhatarisha maisha ya watu wengine.
Naona hata wewe mwenyewe huwezi kuyaamini maneno hayo hapo uliyoandika. Miaka mitano taratibu, kanuni na sheria zimekuwa zikivunjwa na mtu anayejichukulia kuwa juu ya sheria hizo! Hili kwako ni jipya leo?

Kuhusu uongo hilo sijui, lakini najua kuna ndege zilizokuwa zinaingia kinyemela ndani ya nchi hii, sijui kama zilishakomeshwa.
 
Back
Top Bottom