squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Unapoteleza mara nyingi unaangukia kichwa na kupata concussion. Hamna kingine.Somo tajwa hapo juu lahusika.
Ukiona mtu amedondoka chooni au bafuni ujue lazima tu amerogwa au kapigwa chuma ulete. Na mara nyingi hutokea kwenye vyoo au bafu zilizofunika ( vya ndani), maana ndo sehemu pendwa ya majini.Majini hayapendi vyoo na bafu za wazi juu. Na yanapenda sana mahala pasafi.
Ukidondoka lazima tu utakuwa umetupiwa jini fulani na mtaalam ! Ukizimia ukaamka ujue limekukosa kosa tu lakini haliondoki hiyo sehemu mpaka likamilishe lengo lake.
Jipange ndugu.