Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
mkuu chakwanza ni kuwa vyoo vingi vilivyofunikwa vinaasilimia kubwa ya utelezi tofauti na vilivyo wazi
pili mtu akidondoka chooni maranyingi anagonga sehemu za kichwa ambazo ni sehemu hatari kuguswa,
tatu mtu akiwa katoka kupumzisha mwili ama katoka kukimbia au katoka usingizini akiwa chooni au akiwa amesimama akiwa katulia ni rahisi sana kuanguka.
hitimisho ni kuwa hizo imani tusizipe nafasi maana tunajiwekea mipaka ya kufikiri na kuacha kutafuta chanzo kwanini watu wanadondoka chooni au bafuni