Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

mkuu chakwanza ni kuwa vyoo vingi vilivyofunikwa vinaasilimia kubwa ya utelezi tofauti na vilivyo wazi
pili mtu akidondoka chooni maranyingi anagonga sehemu za kichwa ambazo ni sehemu hatari kuguswa,
tatu mtu akiwa katoka kupumzisha mwili ama katoka kukimbia au katoka usingizini akiwa chooni au akiwa amesimama akiwa katulia ni rahisi sana kuanguka.
hitimisho ni kuwa hizo imani tusizipe nafasi maana tunajiwekea mipaka ya kufikiri na kuacha kutafuta chanzo kwanini watu wanadondoka chooni au bafuni
 
Wengi wanaoanguka bafuni/chooni hutokea asubuhi au usiku na hii husababisha na muhusika anakua ametoka kulala au alikaa kwa muda mrefu hivyo flow ya damu inakua haiendi sawa haifiki maeneo mengine ya mwili!
 
Kuna wengine huwa wanadondoka pindi wanapojimwagia maji ya baridi ilhali mwili ni wa joto
Matokeo yake huwa ni mabaya
Hayo mengine yapo na wengine kupigwa kofi kabisa
Yaani jiandae kwa mengi
Ukienda kuoga unashauliwa uanze kujimwagia maji miguuni kupanda juu ili kubalance body temperature kitendo cha kujimwagia maji kichwani au kifuani unajiweka kwenye risk ya kupata stroke au kufa kabisa, ni sawa na chuma chenye moto ukimwagie maji kinaweza kupasuka
 
Mkuu je kwa wale wenye kuoga kwa kutumia shawa nao ina kuaje hapo maana ile ni ngumu ku balance maji yaanzie wapi..,
 
Ukienda kuoga unashauliwa uanze kujimwagia maji miguuni kupanda juu ili kubalance body temperature kitendo cha kujimwagia maji kichwani au kifuani unajiweka kwenye risk ya kupata stroke au kufa kabisa, ni sawa na chuma chenye moto ukimwagie maji kinaweza kupasuka
Hapo umenena kisayansi zaidi na sio kama watu wanavyoamini
 
nasikia ukidondoka chooni hakikisha kabla hujatoka unajipaka kinyesi cha chooni mwili mzima...unajipaka kama unavyojipaka mafuta nilazima ujikandike
 
Hili lipo katika pande mbili swala ya kiimani na kisayansi kama alivosema mchangiaji flan kwenye hii mada...iko hv kwenye swala la KIIMANI...wachawi wengi hutupa vitu vibaya chooni kwa kumlenga mtu fulani au tego kwa lugha nyingne kwa kuwa wanajua hilo tego lazima limpate huyo mtu kwa kuwa kwa mtu ambaye hana mapungufu kwa siku lazima aende choon.so moja kwa moja wanajua tego lao litafanikiwa kwa maana muhusika lazima ataenda chooni na hilo tego litampata au litafanikiwa kwa asilimia zote najua watu watabisha but hili swala lipo kama huamini ulizia mashehe utaambiwa...Na kwenye upande wa KISAYANSI ni kuwa yawezekana mtu anapoanguka choon anakuwa katika "reststate" so anapoamka ghafla mzunguko wa damu unakuwa hujaanza kuflow all parts of the body so anapoamka ghafla some parts za mwl zinakuwa hazijaanza kufunction vzur so lolote laweza kutokea kama hvyo kuanguka...pila kuna mchangiaji flan hapo juu kasema ni kwenye swala la kuoga means unapoanza kujimwagia maji ya barid ili hali mwl ni wa joto so pale lazima kunatokea matokeo kama hayo kama ya kuanguka...Sababu nyingne yaweza kuwa ni utelezi mfano sabuni kwenye tiles so all in all yapo but likitokea hili kwa mtu wako wa karibu chunguza pande zote
 
Nilishaanguka tena kwa kishindo na mavi yote yakarudi tumboni , ila nilisema kwa sauti " mababu nisaidieni " mwenye nyumba alipoona nimetoka salama akanitafutia kisa na kunifukuza . Eti anasema nimeaga nyumbani !
 
😂😂😂😂😂 nmecheka mno
 
Allahuma inn audhubika minal kubuthi wal kabaith (ewe mwenyezi mungu ninajilinda kwako na mashetani wabaya wa kike na wakiume )
 
Nilishaanguka tena kwa kishindo na mavi yote yakarudi tumboni , ila nilisema kwa sauti " mababu nisaidieni " mwenye nyumba alipoona nimetoka salama akanitafutia kisa na kunifukuza . Eti anasema nimeaga nyumbani !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na huu ndio ukweli
 
Kuna aina flani ya majini huwa hawapatikani mahali popote isipokuwa chooni,yaani wao chooni ndo nyumbani na ndo sababu kwa waislam huwa Kuna maneno wanasema kabla ya kuingia chooni ili Mungu muumbaji awakinge na hao viumbe
Kwahiyo hayo majini yanafanyaje mkuu?
 
Hiyo huwa ni stroke, pressure inaweza kuwa juu halafu ukajimwagia maji baridi. Unaambiwa uanze kujimwaGia maji miguuni kwanza kabla ya ki chwa

Ukweli ni huu hapa. 👆🏽
 
Back
Top Bottom