squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Unapoteleza mara nyingi unaangukia kichwa na kupata concussion. Hamna kingine.Somo tajwa hapo juu lahusika.
Ukiona mtu amedondoka chooni au bafuni ujue lazima tu amerogwa au kapigwa chuma ulete. Na mara nyingi hutokea kwenye vyoo au bafu zilizofunika ( vya ndani), maana ndo sehemu pendwa ya majini.Majini hayapendi vyoo na bafu za wazi juu. Na yanapenda sana mahala pasafi.
Ukidondoka lazima tu utakuwa umetupiwa jini fulani na mtaalam ! Ukizimia ukaamka ujue limekukosa kosa tu lakini haliondoki hiyo sehemu mpaka likamilishe lengo lake.
Jipange ndugu.
Sijafahamu ujinga sana na mambo ya kijadi japo sio sehemu ya maisha yangu. Hata ukitokea uzembe barabarani ajali ikatokea wakati tunaongelea safety ataibuka mjadi akuambie pale tulitega ndagu tumekunywa damu sana au tumebeba wote hakuna aliyekufa mmezika migomba. Pamoja na kuwepo kwa asilimia za ushirikina asilimia kubwa ni matukio ya asili a yanayohitaji maarifa sio ndagu.Haya mambo yapo mkuu,bahati mbaya tu una ujinga kuhusu mambo haya
Umenena vyema mtaalam,asome hapa ataelewaWatu wanadondoka kwa sababu. Unakuta mtu ametoka usingizini anaenda msalani.ukiwa umelala mwili una relax. Ukiamka ghafla na kutembea inakua shida. Ndo maana wataalau wanashauri ukiwa umelala na unataka kuamka inabidi uamke halafu ukae kitandani miguu ikiwa chini kwa muda ili mwili uwe ktk hali ya kawaida halafu ndo usimame uanze kutembea. Tofauti na hivyo ni shida.
Ngoja urogwe au uchukuliwe msukule ndo utaelewa vizuriSijafahamu ujinga sana na mambo ya kijadi japo sio sehemu ya maisha yangu. Hata ukitokea uzembe barabarani ajali ikatokea wakati tunaongelea safety ataibuka mjadi akuambie pale tulitega ndagu tumekunywa damu sana au tumebeba wote hakuna aliyekufa mmezika migomba. Pamoja na kuwepo kwa asilimia za ushirikina asilimia kubwa ni matukio ya asili a yanayohitaji maarifa sio ndagu.
Kwanini usihusishe na shinikizo la damu ?Somo tajwa hapo juu lahusika.
Ukiona mtu amedondoka chooni au bafuni ujue lazima tu amerogwa au kapigwa chuma ulete. Na mara nyingi hutokea kwenye vyoo au bafu zilizofunika ( vya ndani), maana ndo sehemu pendwa ya majini.Majini hayapendi vyoo na bafu za wazi juu. Na yanapenda sana mahala pasafi.
Ukidondoka lazima tu utakuwa umetupiwa jini fulani na mtaalam ! Ukizimia ukaamka ujue limekukosa kosa tu lakini haliondoki hiyo sehemu mpaka likamilishe lengo lake.
Jipange ndugu.
Kuna ishu inaitwa orthostatic hypotension ambapo pressure hushuka ghafla mtu anapobadili mkao. Hasa anaposimama ghafla . sasa unakuta mtu alilala kisha akasimama kuelekea chooni, hapo pressure hushuka na kupata kizunguzungu na kuanguka.Hizo takwimu umezitoa wapi
Nakupenda sanaTiles zinateleza kama zina sabuni.wekeni tiles za chooni zile rafu
Du,kwa hiyo mtu mwenye pressure anatakiwa kuishi kwa tahadhariKuna ishu inaitwa orthostatic hypotension ambapo pressure hushuka ghafla mtu anapobadili mkao. Hasa anaposimama ghafla . sasa unakuta mtu alilala kisha akasimama kuelekea chooni, hapo pressure hushuka na kupata kizunguzungu na kuanguka.
pia kuna dawa ukitumia hasa za kushusha pressure hutakiwi kuoga maji ya moto sana maana. Maji ya moto hufanya mishipa ya damu kutanuka na kushusha zaidi pressure na madhara ya pressure kushuka ni kizunguzungu ambapo mtu huishia kuanguka.
ExactlyTiles zinateleza kama zina sabuni.wekeni tiles za chooni zile rafu
nyongeza tumsaidie mleta uzi hata gari ukiliwasha asubuhi yakupasa uliwashe uliache japo kwa dakika kadhaa ndo uanze safari ila si kuwasha nakuanza safari maana oil inakuwa imeshuka chini pia damu ya mwanadamu upande mmoja inakuwa nyingi alafu speed yake ya mzunguko inakuwa chini maana mwili ulikuwa umepumzishwaWatu wanadondoka kwa sababu. Unakuta mtu ametoka usingizini anaenda msalani.ukiwa umelala mwili una relax. Ukiamka ghafla na kutembea inakua shida. Ndo maana wataalau wanashauri ukiwa umelala na unataka kuamka inabidi uamke halafu ukae kitandani miguu ikiwa chini kwa muda ili mwili uwe ktk hali ya kawaida halafu ndo usimame uanze kutembea. Tofauti na hivyo ni shida.