Bafuni ni mahali penye utelezi sana. Halafu mara nyingi mtu unakuwa umeshika kitu chenye utelezi kama vile sabuni. Nadhani unajua kuwa mtu ukiteleza, badala ya kuachia ulichoshika huwa unaking'ang'ania. Hivyo, ukiteleza bafuni, huwa unang'angania ile sabuni, ndoo au hata nguo yako badala ya kujizuia kwa mikono ili upunguze ile kasi. Unajikuta umepiga sehemu ya kichwa na haswa kisogo kwa nguvu chini.
Sitaki kukueleza ni nini hutokea kichwani kwa sababu inategemea mishipa ya ubongo ulio iponda kwa anguko lako. Kichwa (ubongo) kikiingia tone la damu, au ukikosa oxyijeni, ubongo unaanza kuoza. Kifo au kupooza kabisa ni lazima.
Wasio imara kwenye imani hukimbilia kuwa ni mapepo/mashetani. Hapana, ni jeraha lilipopiga, na hatari ya hiyo sehemu. Ukiangukia magoti utavunja goti au paja, je kifo ni lazima?
Wengi wanaokufa ni wale waliopiga kichw chini, halafu wakakosa msaada wa kuwahishwa hospitali haraka. Kumbuka, kama ni mtu mzima aliingia chooni au bafuni, tuna ujinga wa kuondoka sehemu za karibu na choo/bafu ati tusimsikie afanyalo humo. Tukae karibu na wazee wetu, waume/wake zetu bafuni/chooni. Ndo maana ya self contain