Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

Bafuni ni mahali penye utelezi sana. Halafu mara nyingi mtu unakuwa umeshika kitu chenye utelezi kama vile sabuni. Nadhani unajua kuwa mtu ukiteleza, badala ya kuachia ulichoshika huwa unaking'ang'ania. Hivyo, ukiteleza bafuni, huwa unang'angania ile sabuni, ndoo au hata nguo yako badala ya kujizuia kwa mikono ili upunguze ile kasi. Unajikuta umepiga sehemu ya kichwa na haswa kisogo kwa nguvu chini.
Sitaki kukueleza ni nini hutokea kichwani kwa sababu inategemea mishipa ya ubongo ulio iponda kwa anguko lako. Kichwa (ubongo) kikiingia tone la damu, au ukikosa oxyijeni, ubongo unaanza kuoza. Kifo au kupooza kabisa ni lazima.
Wasio imara kwenye imani hukimbilia kuwa ni mapepo/mashetani. Hapana, ni jeraha lilipopiga, na hatari ya hiyo sehemu. Ukiangukia magoti utavunja goti au paja, je kifo ni lazima?
Wengi wanaokufa ni wale waliopiga kichw chini, halafu wakakosa msaada wa kuwahishwa hospitali haraka. Kumbuka, kama ni mtu mzima aliingia chooni au bafuni, tuna ujinga wa kuondoka sehemu za karibu na choo/bafu ati tusimsikie afanyalo humo. Tukae karibu na wazee wetu, waume/wake zetu bafuni/chooni. Ndo maana ya self contain
 
Kuna thread iliyojibu swali lako iliwekwa humu week Jana
 
Hili jambo lina uhusiano mkubwa sana na mambo yanayotendeka katika ulimwengu wa roho,mpaka mtu anafikia kuanguka bafuni au chooni,tayari anakuwa alishamruhusu shetani kumtumikisha na kumletea either magonjwa,au namna yoyote ya mitego yake ili aweze kufanikisha malengo yake,shetani ana sifa kuu tau,kuiba,kuchinja(kuua) na kuharibu,lakini haya mambo anayafanya kwa hila za hali ya juu sana mpaka watu wengine wanatafuta sababu tofauti zisizomhusu yeye(shetani)katika hili jambo,ukweli ni kwamba hapa duniani tunaongozwa na falme(tawala) mbili tu,utawala wa Mungu na utawala wa shetani,usipokuwa chini ya utawala na maongozi ya Mungu,moja kwa moja unakuwa chini ya utawala wa shetani,na lazima sifa na vigezo vyake vya kuiba,kuchinja na kuharibu vitende kazi ndani yako,tena atafanya hiyo kazi katika familia yako yote mpaka utakapoamua kumpokea na kukaa ndani ya YESU tu,ndiyo inakuwa salama yako.Hebu angalia jinsi whitney houston na mwanae bobby christina walivyokufa kifo cha aina moja cha kudondoka bafuni!,TAFAKARI
 
wakuu naombeni kuuliza hivi kuna jambo gani na mausihano gani ya watu kuanguka chooni au bafuni na kukutwa na mauti siku kazaa baada ya kutokewa na tukio ilo.
na je kuna walioanguka chooni au bafuni wakaendelea kuishI kwa muda mrefu kama wapo wanisaidie kuondoa wasiwasi wangu

Asanteh
Hakuna mahusiano yeyote lakini mimi ni shahidi kuna watu zaidi ya watano nilio kuwa na wafahamu walianguka bafuni na walifariki..na sababu kuu ilikuwa ni zile tyriz waligonga kichwa chini na kukutwa na mauti!
Kuna mmoja alianguka bafuni hadi sasa amepooza upande mmoja ni mtu mzima wa miaka 60!
 
Ukiamka na kwenda chooni kwa haraka kutoka kitandani bila kukaa kidogo kitandani unasababisha presha ya mwili kushuka kwa ghafla na hii inafanya Sympathetic nerve kuambia ubongo kwamba presha imeshuka hivyo ubongo unauambia moyo Pampu damu kwa nguvu,,na presha ikpanda ghafla inasababisha mishipa midogo ya damu kupasuka kichwani na hivyo ubongo unavuja damu na kusababisha stroke,,HAKUNA MASHETANI WALA NINI,,,HUU NI UGONJWA NA DAWA YAKE NI KWAMBA KAMA UKIAMKA KAA KWANZA KWA DK 5 Kabla ya kutembea,,tukilala tunasababisha damu ikae kwa utulivu,,tukisimama ghafla,,damu inashuka chini kwa ghafla,,hii ni SAYANSI,,akuna jini wala uongo mwingine
 
Yes, there you are! You are quite right hundred percent.God exists because science has no contradiction.
 
kama ni kweli basi mm ningekua nimeshakufa maana kuna ck nilianguka bafuni kwangu nikapigiza kichwa nilihc kuzimia ila nikaamka nikaendela kuoga
 
1. kwa kawaida mtu anapoamka na kusimama damu hukimbilia miguuni. hilo husababisha pressure ya damu kushuka (postural hypotension). hii hufanya damu kwenye ubongo kupungua (hypoperfusion) na kusababisha kizunguzungu na kuanguka. hili hutokea hasa kwa wazee. pia kama unatumia dawa za kupunguza pressure ni hatari zaidi sababu pressur tayari inakuwa chini. kuongezea hili, kukojoa ukiwa umesimama pia kunapunguza pressure ya damu.

2. pia kuoga maji ya moto sana husababisha mishipa ya damu kutanuka (vasodilation). hili husbabisha kushuka kwa pressure, kizunguzungu na kuanguka.

kuepuka haya yakupasa kukojoa ukiwa umekaa hasa wazee na wale wanaotumia dawa za pressure. unapo amka amka kwa step. kaa kwanza kitandani ndiyo usimame. Pia epuka kuoga maji ya moto sana kama unatumia dawa zinazosababisha presha kushuka.
 
kama ni kweli basi mm ningekua nimeshakufa maana kuna ck nilianguka bafuni kwangu nikapigiza kichwa nilihc kuzimia ila nikaamka nikaendela kuoga
Tukisema hivyo haimaanishi kuwa kila kitu kitakuwa hivyo
 
Kwa nn waanguke choo chenye kusakafiwa ua tyris mbona isiwe ktk choo cha tope?huo ni utelezi tu na kushindwa kuwa makini wakati wakutembea sehemu yenye uyelez
 
hii mada imenivuta kwel, week mbili zilizopita nilivytoka job nikaamua kulala kodogo, baada ya kuamka nikaingia toilet kujisaidia haja ndogo ghafla nikaanza kujikia vibaya, nikajikuta tu nashtuka na kujikuta nimelala chooni huku jacho likinitoka mwil mzma. Nashukuru Mungu niliumia kidogo tu lakin mpaka sasa nawaza hii hali inaashiria nn???
mara nyingi kuanguka chooni hiwapata watu walioenda umri au wenye ugonjwa wa presha huwa inakuwa kwamba presha imepanda na mtu anaenda kuoga akipata maji tu kichwani ndio hiwa anaanguka hii ni kwasababu mishipa ya kwenye kichwa inakuwa na high pressure na joto hivyo ukijimwagia maji basi inapasuka hapo ndio unasikia mtu amepata stroke, amepooza . inashauriwa usioge ukiwa na high pressure au imetoka kwenye mazoezi mpaka mwili upoe kwanza
 
Ukiamka na kwenda chooni kwa haraka kutoka kitandani bila kukaa kidogo kitandani unasababisha presha ya mwili kushuka kwa ghafla na hii inafanya Sympathetic nerve kuambia ubongo kwamba presha imeshuka hivyo ubongo unauambia moyo Pampu damu kwa nguvu,,na presha ikpanda ghafla inasababisha mishipa midogo ya damu kupasuka kichwani na hivyo ubongo unavuja damu na kusababisha stroke,,HAKUNA MASHETANI WALA NINI,,,HUU NI UGONJWA NA DAWA YAKE NI KWAMBA KAMA UKIAMKA KAA KWANZA KWA DK 5 Kabla ya kutembea,,tukilala tunasababisha damu ikae kwa utulivu,,tukisimama ghafla,,damu inashuka chini kwa ghafla,,hii ni SAYANSI,,akuna jini wala uongo mwingine
Syncope/orthostatic hypotension.
 
uko sahihi sana mkuu pamoja sio medical personel umejitahidi kuelezea kisayansi fulani. Ukisoma forensic medicine wanaeleza hivyo sasa kwa nyongeza ni kuwa ni kwamba % ya watu wanaoanguka chooni huanguka kinyume nyume na kuangukia kisogo kinachotokea pale ni kuwa kutokana na uzito wa mwili akianguka fuvu hupasuka na unajua likipasuka fuvu nini kitatokea. Wale wanaopalalyse inategemea ameangukaje na force aliyotumia kuanguka nayo. Kwa hiyo chooni hakuna kitu ila ni utelezi unaosababisha kuanguka. Medically tunashauri vyoo visakafiwe non slipperly floor. Na ukiangalia waliowengi wanaoanguka ni wazee na watu wa makamu /wagonjwa hii inaelezwa pia mtu as anaprogress kwa age balance inapungua. Nitajitahidi ni waletee shule nzuri kuhusu hili i promise. Tuachane na fikra za kishirikina. Hasa vyoo vile vya kukaa ndo vibaya zaidi coz lile sink linaact kama panga au kompressor tofauti na vyoo vya shimo au vile vya kuchuchumaa. Nawakilisha.
Choo cha kukaa kizuri ukiwa unaumwa hasa malaria ambayo mara nyingi ina shambulia joint ukichuchumaa wakati wa kutoa gogo kwenye cha kawaida wakati unaumwa unaweza hata kuanguka lakini choo cha kukaa unaweza pata hata usingizi hapo
 
Pia tunatakiwa..tukisha maliza haja ufanye utoke ..pia mambo ya kuimba chooni ni mabaya kabisa..kuna viumbe humo ndo makaazi yao..so unapomaliza toka..
Mkuu kwa wapiga puri inakuwaje? au hao viumbe wanakuchukuliaje wakiona unapiga puri? sijawahi sikia mpiga puri kaanguka chooni, au ukianza kupiga puri hao majini wanaondoka?
 
Back
Top Bottom