Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

Prof janab wa jk heart institute alisema unapochuchumaa na kujisaidi unapojikamua unatengeneza pressure kubwa tumboni inayopelekea moyo kupump damu ghafla kwa kasi hali inayopelekea mirija ya damu kuzidiwa na pressure na kupasuka (stroke) ndio maana watu huwa wanaanguka chooni. Kupunguza risk epuka vyoo vya kuchuchumaa ni hatari, tumia choo cha kukaa ili upunguze kuzalisha pressure kubwa
 
Umeandika kinyesi hapa. Uongo, ujinga na uzushi.
 
Chooni kuna majini wa aina mbili (Khubuthi na Khabaithi) ambao wao ni vipofu, huwa wanatembea kwa kupapasa. Katika kupapasa kwao,ikitokea wamekugusa kichwani basi unaweza ukadondoka na kupooza au kufa kabisa ndio maana tunaambiwa tukiingia chooni tufunge kitu chochote kichwani.
Dua yenyewe ni "Allahumma audhubika minal khubuthi wal khabaithi" maana yake "Eeeh Mungu ninajilinda kwako kutokana na Khubuthi na Khabaithi"

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatembea wakipapasa nini huko chooni? Wanapapasa wakitafuta kitu gani?
 
Kuna aina flani ya majini huwa hawapatikani mahali popote isipokuwa chooni,yaani wao chooni ndo nyumbani na ndo sababu kwa waislam huwa Kuna maneno wanasema kabla ya kuingia chooni ili Mungu muumbaji awakinge na hao viumbe
Mbona unanichanganya?? Majini yote ni maisilamu it's means waisilamu wana unasaba na majini iweje yawadhuru?? Kwamujibu wa dini ya mudi majini ni viumbe wa mwanyazimungu so they can't hurt them
 
Hamna uchawi madaktari wataeleza vizuli lakini kwa uelewa mdogo ni mshtuko wa moyo ukijimwagia maji baridi gafla
Mmh,juzi mtaani kwetu ameanguka jamaa wakati anakanyaga mlango tu aingie chooni, akafa,

Bi mkubwa wetu alitoka chooni kujisaidia, wakati anatoka tu akala mweleka akapata stroke,bahati nzuri tulifaiti kwa uwezo wa Mungu akapona,,,,,,,Sasa kama Ni maji baridi yanashtua moyo, ndio hata maji ya kuchambia yanashtua moyo???;!!
 
Mmh,juzi mtaani kwetu ameanguka jamaa wakati anakanyaga mlango tu aingie chooni, akafa,

Bi mkubwa wetu alitoka chooni kujisaidia, wakati anatoka tu akala mweleka akapata stroke,bahati nzuri tulifaiti kwa uwezo wa Mungu akapona,,,,,,,Sasa ayo maji hata ya kuchambia yanashtua moyo???;!!
Ahsante Kwa ufafanuzi
 
Kuna kitu inaitwa postural hypotension. Hii inatokea mtu anaposimama ghafla, pressure inashuka ghafla, mtu anapata kizunguzungu na kuanguka. Hii hutokea anapoamka na kwenda kujisaidia. Hasa wale wanaotumia dawa za pressure, au dawa kama viagra. Ndiyo maana kama unatumia dawa za presuure inashauriwa kukojoa umekaa.

Kitu kingine ni ukioga maji ya moto. Haya yanafanya mishipa itanuke(vasodilation) hili linashusha pressure na mtu anaweza anguka kwa kizunguzungu.

Jambo lingine ni utelezi sababu ya sabuni. Hakuna majini wala mapepo.
 
Back
Top Bottom