Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

Kuna kitu inaitwa postural hypotension. Hii inatokea mtu anaposimama ghafla, pressure inashuka ghafla, mtu anapata kizunguzungu na kuanguka. Hii hutokea anapoamka na kwenda kujisaidia. Hasa wale wanaotumia dawa za pressure, au dawa kama viagra. Ndiyo maana kama unatumia dawa za presuure inashauriwa kukojoa umekaa.

Kitu kingine ni ukioga maji ya moto. Haya yanafanya mishipa itanuke(vasodilation) hili linashusha pressure na mtu anaweza anguka kwa kizunguzungu.

Jambo lingine ni utelezi sababu ya sabuni. Hakuna majini wala mapepo.
Sasa tushike lipi na tuache lipi mkuu, maana wengine wanasema maji ya baridi ndio yanasababisha madhara na wewe umesema hapa kwamba maji ya moto yanasababisha mishipia kutanuka hivyo pressure kushuka na mtu kuanguka, sasa tumuamini nani katika hili?
 
Mkuu kwahiyo mtu akijenga choo wao wanaingia? Wanatokea wapi wakati ni vipofu ?
Nani kakwambia kipofu ,wanatokea wapo kivipi mbona ukikata gogo porini ,Mara paa nzi hawa hapa huwa wanatokea wapo!??hao asili yao chooni wapo wapo tu ila wanapenda kuwa mazingira hao ,muhimu kujifunika kichwa ukiingia chooni,ikibidi iwe kapelo au mtandio,kuna mengi chini ya jua.
 
Ha ha haaa Mara paaa wameshika kunako daaaa hatariii
Wanatembea wakipapasa nini huko chooni? Wanapapasa wakitafuta kitu gani?

Haihusiani na maswala ya kiimani ila kitaalamu huwa wanapata Cerebral Vesicular Accident (CVA) na hata ukifuatilia utagundua wengi wao ni watu wa umri mkubwa....

NOTE THAT:[emoji736]
Kwa nini iwe chooni!?
 
Kuna kitu inaitwa postural hypotension. Hii inatokea mtu anaposimama ghafla, pressure inashuka ghafla, mtu anapata kizunguzungu na kuanguka. Hii hutokea anapoamka na kwenda kujisaidia. Hasa wale wanaotumia dawa za pressure, au dawa kama viagra. Ndiyo maana kama unatumia dawa za presuure inashauriwa kukojoa umekaa.

Kitu kingine ni ukioga maji ya moto. Haya yanafanya mishipa itanuke(vasodilation) hili linashusha pressure na mtu anaweza anguka kwa kizunguzungu.

Jambo lingine ni utelezi sababu ya sabuni. Hakuna majini wala mapepo.
HYA MABO YA MAJINI CHOONI WAKUU YAPO TENA BILA KUPINGA, KUNA VISA VYA KUANGUKA PINDI TU UINGIAPO, KUANGUKA PINDI UTOKAPO, KUANGUKA KWA UTELEZI WA CHOONI (UCHAFU AU SABUNI) NA KUANGUKA KWA KUJIMWAGIA MAJI YA BARIDI KICHWANI.
LAKINI JIULIZE NI MARA NGAPI UNAJIMWAGIA MAJI KICHWANI NA HUANGUKI NA KUPATA STROKE? HYA MAMBO YANASHABIHANA NA HUSDA ZA MAJINI WANAOAMINIKA KUWEPO HKO KWA MUJIB WA VITABU VYA DINI

SWALI; kuanguka na kupata stroke kwa nini mara kwa mara hutokea chooni?
 
Ipo sana,zamani kuna mzee mmoja jirani yetu alikua vizuri tu,alianguka huko hakurudi tena.
2019 babaangu mdogo alianguka huko hakurudi na alikua mzima tu kiafya.
Wote wanyakyusa.
Ukiendekeza ushirikina huwezi kupata solution, viko vingi sana na mara nyingi inategemea amengukia nini na katanguliza nini!

Maana kama katanguliza kichwa na ana historia ya kuwa na tatizo la Pressure kuna uwezekano akapa CVA(STROKE) ambayo uwezekano ku survive ni 80/20% au akapata Aneurysm (brain artery zina collapse/kupasuka) hivyo uwezekano wa ku survive unakuwa ni 0/45%

Good morning [emoji3581]
 
HYA MABO YA MAJINI CHOONI WAKUU YAPO TENA BILA KUPINGA, KUNA VISA VYA KUANGUKA PINDI TU UINGIAPO, KUANGUKA PINDI UTOKAPO, KUANGUKA KWA UTELEZI WA CHOONI (UCHAFU AU SABUNI) NA KUANGUKA KWA KUJIMWAGIA MAJI YA BARIDI KICHWANI.
LAKINI JIULIZE NI MARA NGAPI UNAJIMWAGIA MAJI KICHWANI NA HUANGUKI NA KUPATA STROKE? HYA MAMBO YANASHABIHANA NA HUSDA ZA MAJINI WANAOAMINIKA KUWEPO HKO KWA MUJIB WA VITABU VYA DINI

SWALI; kuanguka na kupata stroke kwa nini mara kwa mara hutokea chooni?
Na kama kaanguka ijumaa akiwa na nguvu ndogo za kiroho hawezi kufika
hiyo hiyo mkuu, jamaa ni mshenzi tu yule !!
Ndio asili yao na mazingira yao hawana lengo LA kudhuru watu mazingira hayo isipokuwa huwa inatokea kama ajari zingine tu,ndio majaaliwa yao kupenda kukaa maaeneo hayo.
 
Sio
Ukiendekeza ushirikina huwezi kupata solution, viko vingi sana na mara nyingi inategemea amengukia nini na katanguliza nini!

Maana kama katanguliza kichwa na ana historia ya kuwa na tatizo la Pressure kuna uwezekano akapa CVA(STROKE) ambayo uwezekano ku survive ni 80/20% au akapata Aneurysm (brain artery zina collapse/kupasuka) hivyo uwezekano wa ku survive unakuwa ni 0/45%

Good morning [emoji3581]
Sio ushirikina in facts tu ambazo wewe huzijui za upande huo
 
Nani kakwambia kipofu ,wanatokea wapo kivipi mbona ukikata gogo porini ,Mara paa nzi hawa hapa huwa wanatokea wapo!??hao asili yao chooni wapo wapo tu ila wanapenda kuwa mazingira hao ,muhimu kujifunika kichwa ukiingia chooni,ikibidi iwe kapelo au mtandio,kuna mengi chini ya jua.
Kumradhi mkuu, kwanini inashauriwa kujifunika kichwa?

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Sio

Sio ushirikina in facts tu ambazo wewe huzijui za upande huo
nahisi unashindwa kufanya uchambuzi kwenye hvi visa! skatai kwamba hamna normal stroke ambayo ukianguka iwe kwa kichwa na sehemu nyingne za mwili au ujimwagie maji! some guys mbona hupiga mbizi kwenye swimming na hakuna effect yyte ile🙂 issue ni kwamba ww unabisha stroke ya majini ya chooni haipo..! mungu muweza wa yote kupitia mitume yake na vitabu akaweka hii dua kwa maana ndugu
 
Back
Top Bottom