Enzi na enzi, Mungu huchukizwa mno na ushoga! Na timbwili la kuanguka kwa Taifa hili kubwa Duniani_ inaanzia hapa.
Mungu kuonyesha kwamba huchukizwa na upumbavu huo na havumilii kabisa kufuru hizo, aliwawasha moto Sodoma na Gomola.
Kitendo cha Marekani kuacha misingi yake na kujikabidhi kwa Lucifer, Mungu hawezi kufanya kikao na watu wa Taifa hilo tena.
Ni suala la muda tu Marekani naye atakuwa kama Roma iliyowahi kuogopeka enzi hizo.
Ushoga kwa Taifa la Marekani; imeuwekea sheria kabisa na kwa sheria hizo, na mataifa mengine wazifuate, na ikiwa hawatazifuata, basi hawatapewa vitu fulani, hii ni kufuru mbaya sana.
Ukiona China inatishia uchumi wa Marekani, basi ndio mwanzo tu wa nchi hiyo kujiweka kwenye nafasi ya kuiongoza Dunia.
Na utawala wa China katika kuiongoza Dunia hauji kwa bahati mbaya! Wasomaji wa Biblia mnaelewa hili na ingawa nao hautadumu kwa sababu wao ndio watakuwa na makufuru makuu kwa Mungu.
Mwenye kusikia na asikie