Kuanguka kwa Taifa la Marekani kwakaribia. Ni suala la muda tu; Mungu hawezi kuacha upuuzi wa nchi hiyo kuendelea

Kuanguka kwa Taifa la Marekani kwakaribia. Ni suala la muda tu; Mungu hawezi kuacha upuuzi wa nchi hiyo kuendelea

A
Uchumba na nguvu za kimataifa havina uhusiano na utakatifu wa taifa husika kwasasa.
Kama ni hivyo Afrika tungekuwa tunagawa misaada ulaya kwasasa
Waafrica ni vigumu sana kuendelea!

Ni bala la watu wavivu na wasiopenda kuona mabadiriko! Ni watu wezi na mafisadi, hawatosheki na kipato chao!

Mzungu akiwa na mali, hawezi kuruhusu pastor amuombee abarikiwe! Thubutu yake, atamzuia katikati ya sala, labda tu atamuomba amuombee ulinzi na afya njema basi!

Kwa waafrica sasa! Hata akiwa na bilioni ngapi atatamani kuombewa abarikiwe zaidi na kuongezewa mara dufu na pengine atazidi kuiba na kuiba!

Watu wa ajabu sana nyinyi
 
Akili/Rangi
 
Makanisa yaliumbuka sana kipindi cha CORONA wamekazana eti chanjo ni alama ya mnyama !! Sijui alama 666 imeenda imerudi ! CORONA mara jina la mtakatifu wa kikatoliki ! Kiko wapi kumbe ile ni sayansi huko na watu wafanye biashara zao za chanjo

Sikatai kuhusu maono na utabiri ila watu wengi wanasoma kitabu vibaya wanakimbilia kupotosha umma ! Hasa hapa Africa ! Kwa nchi zilizoendelea walishagundua mapema kuna mchuano mkubwa kati ya Sayansi na Maswala ya dini !!
 
Vipi ulichanja mkuu
 
Kusubir anguko marekani ni sawa na kusubir embe chini ya mnazi!
Kuna mtu alisema jiwe atasepa watu walibisha ivoivo.....akasema tena ndege itadondoka itaua watu wakakataa vivyo hivyo....🤐Mdomo wangu shona
 
Enzi na enzi, Mungu huchukizwa mno na ushoga! Na timbwili la kuanguka kwa Taifa hili kubwa Duniani_ inaanzia hapa!

Mungu kuonyesha kwamba huchukizwa na upumbavu huo na havumilii kabisa kufuru hizo, aliwawasha moto Sodoma na Gomola!

Kitendo cha Marekani kuacha misingi yake na kujikabidhi kwa Lucifer, Mungu hawezi kufanya kikao na watu wa Taifa hilo tena!

Ni suala la muda tu Marekani naye atakuwa kama Roma iliyowahi kuogopeka enzi hizo!

Ushoga kwa Taifa la Marekani; imeuwekea sheria kabisa na kwa sheria hizo, na mataifa mengine wazifuate, na ikiwa hawatazifuata, basi hawatapewa vitu fulani, hii ni kufuru mbaya sana!

Ukiona China inatishia uchumi wa Marekani, basi ndio mwanzo tu wa nchi hiyo kujiweka kwenye nafasi ya kuiongoza Dunia,

Na utawala wa China katika kuiongoza Dunia hauji kwa bahati mbaya! Wasomaji wa Biblia mnaelewa hili na ingawa nao hautadumu kwa sababu wao ndio watakuwa na makufuru makuu kwa Mungu!

Mwenye kusikia na asikie
Lazima utakuwa upo kwenye kibanda umiza ni story zao
 
Back
Top Bottom