- Thread starter
- #81
A
Ni bala la watu wavivu na wasiopenda kuona mabadiriko! Ni watu wezi na mafisadi, hawatosheki na kipato chao!
Mzungu akiwa na mali, hawezi kuruhusu pastor amuombee abarikiwe! Thubutu yake, atamzuia katikati ya sala, labda tu atamuomba amuombee ulinzi na afya njema basi!
Kwa waafrica sasa! Hata akiwa na bilioni ngapi atatamani kuombewa abarikiwe zaidi na kuongezewa mara dufu na pengine atazidi kuiba na kuiba!
Watu wa ajabu sana nyinyi
Waafrica ni vigumu sana kuendelea!Uchumba na nguvu za kimataifa havina uhusiano na utakatifu wa taifa husika kwasasa.
Kama ni hivyo Afrika tungekuwa tunagawa misaada ulaya kwasasa