Kuanguka kwa Taifa la Marekani kwakaribia. Ni suala la muda tu; Mungu hawezi kuacha upuuzi wa nchi hiyo kuendelea

Kuna unyama wa kila aina huko duniani na ushoga ni chembe tu lakini maisha yanaenda na haionekani ghadhabu ya Mungu huyo unaemzungumzia, USHOGA utaamuliwa na asili (nature) lakini si kwa kufutika kwa taifa hilo bali kuwa na wananchi wake wapumbavu kweli kweli.
 
Lakini China ni taifa la waabudu shetani, kule Mungu hana nafasi.
Hata corona ilipotoka kuzimu waliamua kuizindulia China kwenye taifa lao, kupitia daktari wao aliyepotea baada ya mission.
USA ndio headquarters ya Shetani duniani labda kama anataka kuhamisha makao yake China
Haya mambo yote umeyajuaje?
 
.
JamiiForums1071204513.jpg
 
Hizi ramli chonganishi bwana dah, toka lini hiyo marekani yako ilikuwa taifa la Mungu?

Ushoga ni janga la dunia nzima, sio marekani tu bwashee, acha mbege.
Mkuu,

Hakuna Taifa la Mungu bali kuna watu wa Mungu, na watu wale kupitia Taifa lao wakajiwekea sheria kinzani na kanuni za Mungu, Mungu hulipiga hilo Taifa

Misingi ya Taifa la Marekani, limejengwa kwa msingi wa ki Mungu, na ndiyo maana kule, ulipaji wa zaka upo kwenye sisitimu ya mishahara
 
Ndg, utatumia utabiri sana but America ni siri na fumbo nzito, bt ushoga kama kiberiti wote dunia nzima ok.

Ujawai mla mke wa mtu tigo wewe? Ujawai ingia chumvini wewe, hakuna mwanamke ambaye hajanyonya koni yako?

Ujawai angalia porn wewe? Kwa kifupi usiwe unaangalia mapenzi ya jinsi moja tu et ndo dhambi ok, kuna uchafu mwingi mno zaidi ya hiyo na yote ni chukizo mbele za Mungu
 
Kwa hiyo hata kutambua ndoa za jinsia moja ni misingi ya kimungu?
 
Daah!

Inahitaji mtu mvumilivu saana asipokuambia wewe ni mjinga

Nilichoandika kuwa Marekani inaanguka soon hukuiona sababu ya Taifa hilo kuanguka?
 
Ndg, utatumia utabiri sana but America ni siri na fumbo nzito, bt ushoga kama kiberiti wote dunia nzima ok.

Ujawai mla mke wa mtu tigo wewe? Ujawai ingia chumvini wewe, hakuna mwanamke ambaye hajanyonya koni yako?

Ujawai angalia porn wewe? Kwa kifupi usiwe unaangalia mapenzi ya jinsi moja tu et ndo dhambi ok, kuna uchafu mwingi mno zaidi ya hiyo na yote ni chukizo mbele za Mungu
Asante kwa mchango
 
Back
Top Bottom