cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Bora umuambie kabisaaa.Kusubir anguko marekani ni sawa na kusubir embe chini ya mnazi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umuambie kabisaaa.Kusubir anguko marekani ni sawa na kusubir embe chini ya mnazi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi nyuzi ndiyo matunda ya makanisa ya akina masanja.
Endeleeni kukumbatia huo ujinga huku bara lenu, nchi zenu na watu wake waki nuka ujinga, umasikini na upumbavu.Lakini China ni taifa la waabudu shetani, kule Mungu hana nafasi.
Hata corona ilipotoka kuzimu waliamua kuizindulia China kwenye taifa lao, kupitia daktari wao aliyepotea baada ya mission.
USA ndio headquarters ya Shetani duniani labda kama anataka kuhamisha makao yake China
Russia ni othodox mkuu jiheshimuUnaisemaje China na Russia. Nchi ambazo zinaongozwa na mizimu.
Wa Africa ni giza tupu, toka rangi ya ngozi hadi akili.Umemaliza, narudia tena maliza mkuu na hii ndio principle ya nchi zote zilizo endelea.
Huu ujinga umebaki bara la giza pekee, kwa sababu hata watu wake wana giza vichwani mwao badala ya akili.
Labda kama ingekuwa ndio empire ya kwanza kuwepo hapa duniani, hakuna jipya.Usa ndio anauetimiza unabii,kuanguka kwa usa ni kuanguka kwa ulimwengu.
Hii ngozi hii, kuna kitu hakipo sawa hata kama ukweli una tuuma ila kiuhalisia hii ngozi na akili ni mbingu na ardhi.Wa Africa ni giza tupu, toka rangi ya ngozi hadi akili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Useme grandbook na uelewe vema!
Hakuna kanisa la Masanja bali kuna kanisa ambalo ni mwili wa Kristo!
Msiojua Mandiko huwa mnahangaikia sana vitu vya mwilini, mko tayari kubomoa jengo la waamini mkizani mmeangusha kanisa!
Kanisa siyo jengo na wala halihusiani na wachungaji wala masanja
Mizimu ni nini ?Unaisemaje China na Russia. Nchi ambazo zinaongozwa na mizimu.
Ninapoona mtu akipoteza muda akitoa maoni Mimi huudhika Santa. Maoni yako hayabadili chochote!!! Maoni ya Akina Elon, Gates na wengine ndiyo yanamatter. Angalia maoni ya Elon yalivyo angusha value ya Bitcoin kwa siku kadhaa. Lakini ya kwako hayabadili chochote. Ni kama kifo Cha nzi na tembo. WACHENI KUPOTEZA MUDA!!!! TUAMKE.Nakusapoti sana ASIWAJU!!Endeleeni kukumbatia huo ujinga huku bara lenu, nchi zenu na watu wake waki nuka ujinga, umasikini na upumbavu.
Mwambie huyo Mungu awafanye nanyi muendelee kama hao U.S.A, China, U.K, France, Canada, Korea, Germany and so on.Ninapoona mtu akipoteza muda akitoa maoni Mimi huudhika Santa. Maoni yako hayabadili chochote!!! Maoni ya Akina Elon, Gates na wengine ndiyo yanamatter. Angalia maoni ya Elon yalivyo angusha value ya Bitcoin kwa siku kadhaa. Lakini ya kwako hayabadili chochote. Ni kama kifo Cha nzi na tembo. WACHENI KUPOTEZA MUDA!!!! TUAMKE.
Useme grandbook na uelewe vema!
Hakuna kanisa la Masanja bali kuna kanisa ambalo ni mwili wa Kristo!
Msiojua Mandiko huwa mnahangaikia sana vitu vya mwilini, mko tayari kubomoa jengo la waamini mkizani mmeangusha kanisa!
Kanisa siyo jengo na wala halihusiani na wachungaji wala masanja
Na kila leo wanatupiga gepu hatari. Hapa kwenyewe tunajimwambafy jf huku tukitumia marimba ya mzungu. 🤣🤣🤣🤣Wazungu hawamtegemei Mungu kuendelea. Wao wanategemea akili
Useme grandbook na uelewe vema!
Hakuna kanisa la Masanja bali kuna kanisa ambalo ni mwili wa Kristo!
Msiojua Mandiko huwa mnahangaikia sana vitu vya mwilini, mko tayari kubomoa jengo la waamini mkizani mmeangusha kanisa!
Kanisa siyo jengo na wala halihusiani na wachungaji wala masanja
Havina uhusianoEndeleeni kukumbatia huo ujinga huku bara lenu, nchi zenu na watu wake waki nuka ujinga, umasikini na upumbavu.
Vyoo anasubiriwa Yesu atujengee 😝😝😝Na kila leo wanatupiga gepu hatari. Hapa kwenyewe tunajimwambafy jf huku tukitumia marimba ya mzungu. 🤣🤣🤣🤣
Waafrica bwana wanajitutumua wee lakini hamna lolote. Vyoo vyao wenyewe tuu kujenga wanashindwa
KWA wenye macho umuonaAna tofauti gani na huyo asiye onekana anae aminiwa na mabilion ?