ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhari hata China kwa sababu hawamjui Mungu kwa itikadi yao ya Ukomunism! Lakini linapiga vita Ushoga! Ni tofauti na Taifa la Marekani ambalo lilijengwa katika misingi ya Ukristo iliyowekwa na Waasisi wa Taifa hilo,lakini kwa sababu ya kiburi wameacha misingi ya Ukristo na matokeo yake wanamkufuru Mungu kwa kueneza uchafu huo duniani.Lakini China ni taifa la waabudu shetani, kule Mungu hana nafasi.
Hata corona ilipotoka kuzimu waliamua kuizindulia China kwenye taifa lao, kupitia daktari wao aliyepotea baada ya mission.
USA ndio headquarters ya Shetani duniani labda kama anataka kuhamisha makao yake China
Hili hili la watu wajinga.Kwani we uko bara la Ulaya?
Una sh ngapi hapo!Yaani badala ya kutafuta pesa zako unaanza kufikiria yasiyo na maana. Whether Marekani ama China iwe super power hiyo haitabadili net worth yako mwenzangu. Utabaki pale pale huku wenzako humo wanaendelea. Isieleweke ya kwamba napendekeza tabia mbovu za wenzetu huko lakini ni wakati waafrika wenzangu tuamke. Maoni yako hayabadili chochote. Tujijenge kwanza wenzangu!!!!!
Isipokuwa wanategemea nini?Wazungu hawamtegemei Mungu kuendelea. Wao wanategemea akili
Hapo nikikuuliza useme kanisa ni nini hutaweza kusema... Yaani kwa kifupi, wewe mvaa kobazi hujui kanisa ni nini.Yesu halijui kanisa lolote
Haelewi chochote mkuuHapo nikikuuliza useme kanisa ni nini hutaweza kusema... Yaani kwa kifupi, wewe mvaa kobazi hujui kanisa ni nini.
Nakuuliza, Kanisa ni nini?
Aushike aupeleke wapi?Isipokuwa wanategemea nini?
Mzungu anaweza kuushika upepo mkononi mwake?
Tuone iwapo kweli hawaishi kwa kumtegemea MunguAushike aupeleke wapi?
Ndiyo maana wamefanikiwa wazungu walifanikiwa kuwaaminisha waafrika kuwa mizimu ni kitu kibayaUnaisemaje China na Russia. Nchi ambazo zinaongozwa na mizimu.
😂😂Ndiyo maana wamefanikiwa wazungu walifanikiwa kuwaaminisha waafrika kuwa mizimu ni kitu kibaya
Halafu anatype akitumia android phone , tawi alilokalia ndio anataka likatike.Kusubir anguko marekani ni sawa na kusubir embe chini ya mnazi!
if the US falls our slave Master will be China, without using our brains as Africans we will be the same dogs with new masterEnzi na enzi, Mungu huchukizwa mno na ushoga! Na timbwili la kuanguka kwa Taifa hili kubwa Duniani_ inaanzia hapa!
Mungu kuonyesha kwamba huchukizwa na upumbavu huo na havumilii kabisa kufuru hizo, aliwawasha moto Sodoma na Gomola!
Kitendo cha Marekani kuacha misingi yake na kujikabidhi kwa Lucifer, Mungu hawezi kufanya kikao na watu wa Taifa hilo tena!
Ni suala la muda tu Marekani naye atakuwa kama Roma iliyowahi kuogopeka enzi hizo!
Ushoga kwa Taifa la Marekani; imeuwekea sheria kabisa na kwa sheria hizo, na mataifa mengine wazifuate, na ikiwa hawatazifuata, basi hawatapewa vitu fulani, hii ni kufuru mbaya sana!
Ukiona China inatishia uchumi wa Marekani, basi ndio mwanzo tu wa nchi hiyo kujiweka kwenye nafasi ya kuiongoza Dunia,
Na utawala wa China katika kuiongoza Dunia hauji kwa bahati mbaya! Wasomaji wa Biblia mnaelewa hili na ingawa nao hautadumu kwa sababu wao ndio watakuwa na makufuru makuu kwa Mungu!
Mwenye kusikia na asikie
Mwamba uko sahihi hii vita inapunguza ushawishi wa marekani kama Taifa kiongoziUjerumani itakuwa taifa kubwa zaidi, number 1. Mlima ambao Marekani ipo kileleni una utelezi sana, ni suala la muda tu ataporomoka. Pamoja na sababu ulioitaja, kikubwa kitakachoiangusha USA ni vita yake na RUSSIA hivi karibuni.
Asomaye na afahamu
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
What did you want to say Chief!if the US falls our slave Master will be China, without using our brains as Africans we will be the same dogs with new master
Aisee!Nimekaa Hapa Na Mbwa Hamniiti,Uturuki Inaenda Kuwa Taifa lenye Nguvu Duniani.