Kuanguka kwa Taifa la Marekani kwakaribia. Ni suala la muda tu; Mungu hawezi kuacha upuuzi wa nchi hiyo kuendelea

Afadhari hata China kwa sababu hawamjui Mungu kwa itikadi yao ya Ukomunism! Lakini linapiga vita Ushoga! Ni tofauti na Taifa la Marekani ambalo lilijengwa katika misingi ya Ukristo iliyowekwa na Waasisi wa Taifa hilo,lakini kwa sababu ya kiburi wameacha misingi ya Ukristo na matokeo yake wanamkufuru Mungu kwa kueneza uchafu huo duniani.
Sasa nani afadhari? Huyu asiyemjua Mungu lakini anatenda matendo yanayompendeza Mungu AU huyu anayesema anamjua Mungu lakini anafanya machukizo mbele za Mungu wakati anajua hayo hayampendezi Mungu?
 
Una sh ngapi hapo!

Ni Heri kukosa kila kitu ila usikose ufalme wa Mungu
 
Hapo nikikuuliza useme kanisa ni nini hutaweza kusema... Yaani kwa kifupi, wewe mvaa kobazi hujui kanisa ni nini.

Nakuuliza, Kanisa ni nini?
Haelewi chochote mkuu
 
Ndiyo maana wamefanikiwa wazungu walifanikiwa kuwaaminisha waafrika kuwa mizimu ni kitu kibaya
😂😂

Hiyo haiondoi ukweli wote kwamba, Mungu yupo

Na hata wanaoabudu mizimu, bado haiondoi uwepo wa Mungu!
 
Nimekaa Hapa Na Mbwa Hamniiti,Uturuki Inaenda Kuwa Taifa lenye Nguvu Duniani.
 
Ujerumani itakuwa taifa kubwa zaidi, number 1. Mlima ambao Marekani ipo kileleni una utelezi sana, ni suala la muda tu ataporomoka. Pamoja na sababu ulioitaja, kikubwa kitakachoiangusha USA ni vita yake na RUSSIA hivi karibuni.
Asomae na afahamu

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
if the US falls our slave Master will be China, without using our brains as Africans we will be the same dogs with new master
 
Marekani ni chimbuko TU la haki au utetezi wa ushoga baada ya kosa kufanywa na VATICAN city .....

Sitetei ushoga wakulaumiwa ni VATICAN na utawala wao ,karibu Kwa maswali
 
Mwamba uko sahihi hii vita inapunguza ushawishi wa marekani kama Taifa kiongozi
 
Uchumba na nguvu za kimataifa havina uhusiano na utakatifu wa taifa husika kwasasa.
Kama ni hivyo Afrika tungekuwa tunagawa misaada ulaya kwasasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…