Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, Tanzania ni nchi ya watu wasio serious kabisa!

Tupe utafiti uliofanya unao-prove kuwa Watanzania wote hatupo serious.Kama huna nyamaza mkuu,unaonekana mjinga.No research no right to speak.
 
M

Media karibu zote zinaimba mapambio ya kumtukuza bi mkora. Angalia front page kwa kila gazeti kila siku hukosi neno samia, samia.
Ziko bize na simba na yanga
 
Umeelewa alichoongea mleta mada lakini? Au uchawa ndio umekutoa mpaka akili ya kwendea chooni?
 
Mfumo wa elimu mtoto aeleze kile akipendacho na aendelezwe kufikia.malengo haya ya sasa ni maigizo ya kikoloni
 
Mfumo wa elimu mtoto aeleze kile akipendacho na aendelezwe kufikia.malengo haya ya sasa ni maigizo ya kikoloni
Hii sio sahii, mtoto kamwe hawezi kujua Nini anataka na Nini kinafaa,Leo atamuona diamond atatamani kua mwanamziki,kesho atamuona Askari atatamani kua police,tho hii hoja nyingine tusije haribu mjadala
 
Kabendera katoa kitabu cha udaku kama alivyojua watanzania wanapenda udaku ni hasira tu zilimsukuma....
 
Uko sahh mkuu, we imagine mtu kama sa100 kwa uwezo wake ule ameweza kuwa rahisi ktk nchi yenye watu mil 60+
Yaani kwa akili ile yeye ndio mbeba maono wetu kama nchi hahhahaaahaaa
 
My guy, we're not serious in anything period. Siku zinavyosogea naona uwezo wetu wa kufikiri unazidi kurudi nyuma kwa spidi ya ajabu sana.

Imagine in the 1980's and 1990's there were better thinkers in terms of public discourse than we have now. Nchi yetu ilikuwa ya Chama kimoja lakini watu walijitambua.

Nahisi ni dalili ya kushuka viwango vya elimu yetu, nakutojitambua sisi ni nani? tunatoka wapi? na tunataka kwenda wapi?

Vijana, Wazee wanawaza Mpira, Kubeet na Mapenzi. Kijana akiendesha Boda Boda anaona ka-win maisha.
 
....... "Tunauwasha Mwenge na kuuweka juu ya Mlima Kilimanjaro umulike hata nje ya mipaka ya nchi yetu, ulete tumaini pale ambapo hakuna matumaini, upendo pale ambapo pana chuki, heshima ambapo pamejaa dharau"..
  • Je hii sentensi ipo coded?
  • Je tulimulikia wa nje sie tukabaki gizani?
  • Ndio chanzo cha jamii ya hapa wengi kuwa kama mazuzu?
  • Hilo dhumuni la huo mwenge bado lipo?
 
Tanzania ni nchi ya watu walio crippled mentally. Tumefundishwa kuvumilia, kumezea, kusahau haraka, na kutokujali chochote kinachozidi hekaheka za kula, kulala, na kushangilia bongo flava. Watu hawashituki, hawahoji, hawasukumii accountability. Kila kitu kinageuzwa comedy, gossip, au silence. Kila jambo la maana linakufa kimya kimya kwa cheap influencers. Role model wa watanzania ni Influencers kama Babalevo,Diamond, Zuchu,Dotto Magari,comedians and Stupid degenerate medias.

Tatizo ni kwamba taifa linaendeshwa na watu ambao deep down hawajiamini ni kuwa wao ni wa maana na wananguvu kubadilisha yao. Mwananchi wa kawaida anaamini haki ni privilege ya watu wa juu. Vyombo vya habari vinaogopa, wasomi wamegandiana na ubinafsi, wasanii wamevuliwa meno, na vijana wamechanganyikiwa na ujinga wa TikTok, umbea, na utupu wa kudanganya mafollower.

Tunaishi kwa trauma ya taifa lilokosa accountability for generations. Na sasa tumegeuka watu wanaocheka kwenye mazishi yao wenyewe.

Tunapenda kuwashangilia watesi wetu, ku-abandon kila mjadala wa maana, na kusubiri headline mpya ili tusahau ile ya jana….Nchi yetu bado ina roho ya utumwa….. wenye nguvu akiongea, tunanyamaza. Mwenye madaraka akitenda uovu, tunatafuta justification badala ya kusimama straight. Mfumo huu umezaa kizazi cha waoga, wanafiki, na wazembe kiakili.
 
WAtuhumiwa/wahalifu ndio wako madarakani au ndio watawala, hatua achukue nani?

Mahakama zao, polisi wao, ingewezekana kuchukua hatua kama tungekuwa tuna washutumu chadema lakini siyo ccm.
 
Tupe utafiti uliofanya unao-prove kuwa Watanzania wote hatupo serious.Kama huna nyamaza mkuu,unaonekana mjinga.No research no right to speak.
1. Sijasema kuwa Watanzania wote hatupo serious.

2. Sihitaji kufanya utafiti kuthibitisha kuwa Watanzania hatupo serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…