Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, Tanzania ni nchi ya watu wasio serious kabisa!

Aisee!

Kumbe ukiachana na mbwembwe zako za uhendisamu na kupelekewa moto una pointi hivi? ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
 
Alisemaga Mzee FMES [maarufu kwa wengine kama Le Mutuz] kuwa viongozi wetu wanaakisi tu aina ya jinsi ambavyo wananchi walivyo.

Alikuwa sahihi kwa ๐Ÿ’ฏ%.
Naunga mkono hoja, silence is the admission of guilt, hii maana yake ni kweli , nilitegemea Msemaji Mkuu wa Serikali, angemtetea marehemu kuwa huo ni uongo na uzushi, kisha waseme it doesn't make sense amuulie ikulu halafu aka dispose the body sijui wapi wakati wana sewer chambers ina mwaga katikati ya bahari , papa waji feastie!. Mbakwaji alipaswa akanushe, dada wa taifa alipoitoa kama breaking news walimcheki, this means it's true!.

Japo siungi mkono kumtuhumu mtu ambaye hawezi kujitetea, sio kumtendea haki! Si lazima kila Ukweli usemwe, ukweli mwingine is FYE only! Uzalendo wa kweli ni pamoja kuwa na Kabbah, unahifadhi ukweli kifuani mwako, unakufa nao
Ila Wabongo hizi ndio zetu, maneno maneno tuu Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?

P
 
Mwandishi wa kitabu alikua na chuki zake binafs dhidi ya serkali ya Magufuli, binafs mengi yaliyo andikwa mule sikuyatilia maanani.
Kwahiyo ni sawa tu kwa watanzania kumdharau.
 
Shida mtuhumiwa hayupo tena hata ukienda kushtaki unamshtaki nani.
 
Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, Tanzania ni nchi ya watu wasio serious kabisa! . Nakubaliana na wewe juu na chini,katikati kuna wadada wapo serious sana kama hujawaona sema
 
Kwa hiyo Zuchu mwenyewe subscribers m5 ndio mtu serious kwako??
 
Tupe utafiti uliofanya unao-prove kuwa Watanzania wote hatupo serious.Kama huna nyamaza mkuu,unaonekana mjinga.No research no right to speak.
Unataka research gani, hata hapa JF hesabia tu wanaoandika utumbo, hasa CCM, kama Kipara Kipyaa, Tlaatlaa, Lucas etc etc------ hao ndiyo wanawakilisha watawala
 
Alaaniwe mwandishi wa kitabu Kwa kumtuhumu mtu asiye weza kujitetea
 
Aisee!

Kumbu ukiachana na mbwembwe zako za uhendisamu una pointi hivi? ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
Hivi ndo huyu handsome wetu wa JF ๐Ÿ˜น
cocastic njoo umuone babe wako anatema madini hukuโ€ฆ!!
 
Hivi ndo huyu handsome wetu wa JF ๐Ÿ˜น
cocastic njoo umuone babe wako anatema madini hukuโ€ฆ!!
Wee babe wangu NN ana madini haswaa, USA imempa exposure na intelligence, yuko vizuri haswaaa.
Ngosha. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
mfano tarehe ya kufariki kwa sokoine 12/04/1984 jamaa kaandika 12/04/1983.
Itakuwa waliochapa kitabu wamekosea, ila kwa Jonijo hashindwi bhana wweehhโ€ฆ!! ๐Ÿ˜น

Yani nafikiria anavyoingia kwenye vieiti anamwambia dereva washa gari huku na ana pajama kwenda kula tunda kimasihara..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ