Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, Tanzania ni nchi ya watu wasio serious kabisa!

Wee babe wangu NN ana madini haswaa, USA imempa exposure na intelligence, yuko vizuri haswaaa.
Ngosha. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eeehh 😹😹😹
Weeh kumbe Ngoshaa babe wako?
Mi nasemea yule haszu aliyeka uzi wake akasema hb ukanitag bhana..!!
 
Hujazungumza namaanisha kwa mfano sasa uende ukafungeue shtaka la kuua au la kutaka kumla makamuwake hakuna pa kuanzia maana mlalamikiwa hayupo
Sielewi jambo la mashtaka unalitoa wapi! You’re way off base.
 
Eeehh 😹😹😹
Weeh kumbe Ngoshaa babe wako?
Mi nasemea yule haszu aliyeka uzi wake akasema hb ukanitag bhana..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Afu ujue nimechanganya madesa, kuna kitu nafanya hapa, bas nayatindinganyaa, ngoja NN anifurusheee..

Vidampaa wa JF wote wako kichwani πŸ”₯πŸ”₯.
Wa insta ndo vizibo na visoda tyuuh.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Afu ujue nimechanganya madesa, kuna kitu nafanya hapa, bas nayatindinganyaa, ngoja NN anifurusheee..

Vidampaa wa JF wote wako kichwani πŸ”₯πŸ”₯.
Wa insta ndo vizibo na visoda tyuuh.
😹😹😹
Watu mna siri dah 🀣
Uwe unatutambulisha shemeji mapema, unaona sasa umeleta njegeka..!!
 

Lile limoto linalozungushwaga kila mahala kila mwaka ndilo lililozifilisi akili za Watanzania, hasa waTanganyika! - wamelogwa kwelikweli!
 
😹😹😹
Watu mna siri dah 🀣
Uwe unatutambulisha shemeji mapema, unaona sasa umeleta njegeka..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uduguu nimechekaa sanaa.
Hivi ujue napiganisha JF, atakae kuwa mshindi naondoka nae.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu inawezakana upo sahihi lakini binafsi sijawahi kuona jeneza linasomewa mashitaka kizimbani.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uduguu nimechekaa sanaa.
Hivi ujue napiganisha JF, atakae kuwa mshindi naondoka nae.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😹😹😹 Kwahiyo hao wote wako kwenye mchuano wanakugombania??
Awwwww udugu umeweza 🀣

Udugu una nyota kali, mganga wako sio tapeli km wa Simba..!!
 
Viongozi wenyewe hawako serious

Bunge lenyewe haliko serious

Ova
 
🀣

πŸ’―%.
Jibu ni elimu. Katika kosa kubwa alilofanya mwl Nyerere ni kubadilisha mfumo wa elimu waliyoacha wakoloni na kuanzisha mfumo wa elimu ambayo inafanya watu wasifikiri mambo kwa kina. Na mbaya zaidi kiingereza kikadharauliwa na kiswahili kupewa kipaumbele. Hili lilifanya Tanzania iwe kama kisiwa kielimu. Kama unafuatilia mijadala ya bunge la Kenya au mahojiano ya media utakuwa umegundua kuwa uelewa wa wakenya uko juu kuliko sisi. Na hapa sisemi kiingereza tu, bali na quality ya maongezi. Mtanzania kila kitu ni kukariri na kuna maneno ambayo anajiona kama hajatoa hoja asipoyasema i.e. ''kusema ukweli, mimi kama mimi.........'' Elimu imeondoa uwezo wa watu kusoma vitabu na kuelewa mambo yanayoendelea nchi nyingine na pia jinsi ya kukabiliana na changamoto. Mtu, tena msomi akiambiwa ''katiba italeta chakula mezani.... '' ananywea. Kwa kifupi elimu imetufanya tu develop culture za ajabu kweli kweli.
 
Hii sio sahii, mtoto kamwe hawezi kujua Nini anataka na Nini kinafaa,Leo atamuona diamond atatamani kua mwanamziki,kesho atamuona Askari atatamani kua police,tho hii hoja nyingine tusije haribu mjadala
Lakini huoni watoto Wanameza mavitu kibao,huenda mtoto anataka kuwa kama Tiger wood apelekwe huko kwenye golf akionekana hayuko vivuri afundishwe kwenye haya mavitu mob,e.g Finance, Doctorate n.k.
 
Project chafuzi ya kitabu cha kutakatishia fedha chafu imekufa kifo cha mende
Mjinga wao kwenye ubora wake.

Yaani utakatishe pesa kwa kitabu cha kuuzwa $23?

Watakatishaji walioko huko Lumumba nyuma ya vivuli wakiuza narcotics hamuwaoni?
 
Unadhani Kuna muandishi anaeza kuchunguza hilo ? au hata kuumuliza Mh Rais km aliwahi kupata kadhia Hy Kwa mujibu wa hicho kitabu ? Labda waandishi wa huko uliko Mkuu
Mkuu Tanzania haina waandishi wa habari. Hivi huyu Ayo ni mwandishi? Na wengi wako kama yeye. Eti Chief Odemba ndiyo kiboko wa mahojiano! Watu kama hawa ndiyo wa kuchunguza mambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…